Duuh!Picha linaanza binti inabidi ajifungue kwa opareshen njia ya kawaida imegoma jamaa hata senti tano nyekundu hana,misukosuko juu ya misukosuko,baada ya kujifungua mara wamesahau mkasi tumboni,mara mshono umeanza kuharibika nyuzi zimefumka,
Ngoma ikaamia kwa bro, kuna usiku wa manane tunagongewa jamaa kakutwa analia chumbani kwake tumbo zimekaza hata kuinuka anashindwa, alfajiri tukamwahisha hospitali kesho alfajiri zinakuja taarifa broo amefariki. Daaaah!!
Pole sanaPicha linaanza binti inabidi ajifungue kwa opareshen njia ya kawaida imegoma jamaa hata senti tano nyekundu hana,misukosuko juu ya misukosuko,baada ya kujifungua mara wamesahau mkasi tumboni,mara mshono umeanza kuharibika nyuzi zimefumka,
Ngoma ikaamia kwa bro, kuna usiku wa manane tunagongewa jamaa kakutwa analia chumbani kwake tumbo zimekaza hata kuinuka anashindwa, alfajiri tukamwahisha hospitali kesho alfajiri zinakuja taarifa broo amefariki. Daaaah!!
Nshaapoa,MUNGU ni mwema yameshaapitaPoleni sana mkuu...🙏🏽🙏🏽
Pole Mkuu, ila mi sijakuelewa mikasi imesahaurika kwa mwanamke, kakaako tena ndo anafariki au m nachanganya mafaili wapi?Nshaapoa,MUNGU ni mwema yameshaapita
Kwa mwanamke wakati wa kujifunguaPole Mkuu, ila mi sijakuelewa mikasi imesahaurika kwa mwanamke, kakaako tena ndo anafariki au m nachanganya mafaili wapi?
Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
Nmecheka kama mazuri vile[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hapo mkawa mnaomba Mungu hata mimba itoke lakini wapiHii ilimtokea kaka yangu wa tumbo moja atoke yeye ntoke mimi, mtaa wa pili kulikuwa na demu mmoja mfupi,mweusi tii ana macho makubwa yamemjaa usoni, mekundu utafikiri ana red eyes hadi bi mkubwa akawa anamwogopa akawa anasema anavuta bange, kumbe bro alikuwa anapiga bwana, washkaji zake wakamwotea siku moja walishangaaje ukichukulia na mapigo ya yule dem, baada ya kumbana bro akasema anapiga mara moja anasepa.Ule mwaka haujaisha jioni moja tunapokea wageni,wazazi wa yule binti wamekuja kushtaki bro kashamtia mimba, kuitwa jamaa kuthibitisha akakiri ni kweli ye ni mhusika istoshe hadi kadi ya klinic ina jina lake kama baba, daah!! bi mkubwa alichokaje, ikawa haina jinsi, mshua akajitoa kwa maneno mengi makali, ikabidi mzigo tuubebe sisi na bi mkubwa ukichukuli bro hakuwaga na hela kabisa,daah hapo katikati mpaka binti anajifungua yalitokea mambo mengi ya kustaajabisha sometimes hadi nalia nikiyakumbuka..wee acha tu
Wakwe walimloga nnPicha linaanza binti inabidi ajifungue kwa opareshen njia ya kawaida imegoma jamaa hata senti tano nyekundu hana,misukosuko juu ya misukosuko,baada ya kujifungua mara wamesahau mkasi tumboni,mara mshono umeanza kuharibika nyuzi zimefumka,
Ngoma ikaamia kwa bro, kuna usiku wa manane tunagongewa jamaa kakutwa analia chumbani kwake tumbo zimekaza hata kuinuka anashindwa, alfajiri tukamwahisha hospitali kesho alfajiri zinakuja taarifa broo amefariki. Daaaah!!
Muwe mnawataarifu mapema kwamba we unahitaji kuchangamshana tu aamue kuchangamshwa.
Tunamshukuru MUNGU hatujawahi kuamini hivyoWakwe walimloga nn
Mtoto yupo mkuu?Tunamshukuru MUNGU hatujawahi kuamini hivyo
Yupo, sura kama baba yake na kisha maliza form fourMtoto yupo mkuu?