Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

Ndoa tulifunga ya serikali, kanisani siwezi kabisa kujaribu nilishamuona rafiki yangu anahangaika na divorce tena ilikua katoliki, aisee hapana
Divorce ya nini tena kwa mkeo mpendwa jamani πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…ila siku hizi mambo yamebadilika. Umeoa huku unajihami πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…