Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

Asante sana Kwa simulizi
 
Baada ya Mwaka nami nitatoa story yangu ya mahusiano na ya kikazi humu JF,watu wajifunze.

Ingawa umepitia magumu but nikiliinganisha na yangu yako ni cha mtoto.Mwaka kesho nikiwa hai nitaileta,maana mpaka sasa bado nipo kwenye mapicha picha hasa kwenye mahusiano.
 
Story nzuri sana
 
K



Kirefu wewe huna akili kabisa labda ya kwenda haja na kuvuka barabara tu
mkuu we ni mbusi, kiazi, elewa tu hvo, na kama unataka kuhakikisha kuwa we ni mbusi, kiazi, ngoja nikutag alichonijbu threader.

Na kwa kukufungua hilo fuvu lako lilokuzwa kwa ugali na dagaa jaribu kuwatofautisha hawa wahusika, marry na samira, (wa dar), rachel na g (wa mwanza) umeelewa we bwege?
 
Fun fact:
Je wajua
1. samiRA mARy RAchel gRAce coincedence!!! wote aliodate nao patrickk majina yao yana mfuatano wa A na R
2. Hii story ilianza kusimuliwa usiku wa 26-12-2024 hadi usiku wa 12-01-2025
3. Unajua msimuliaji alitoa bikra za wote aliodate nao isipokuwa Rachel
4. Kila episode msimuliaji lazima apige gambe
 
Gambe ni ibada sheikh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…