Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

Patrick hongera na pole,, kwa hiyo project ya mwisho ni kama vile unafanya kazi na mdogo wangu vile????
 
After reading this niko na Mixed feelings
Kicheko
Kilio
Huruma
 
Kumeanza kuchangamukaaaa 😊 😊
 
Maombi ya wazazi kwa watoto ni ngao muhimu Sana....
Wazazi msiache kuwaombea watoto wenu kila iitwapo Leo. Maombi yenu ni nguzo imara kwa watoto wenu.
Imagine mtu anarudi kazini ankutana na habari njema had anaambiwa alikotoka sio pa kawaida (maana yake mganga wake konki) lakini ni ile nguvu ya maombi.
Nakumbuka wakati mama yangu akiwa hai alikuwa ananiombea Sana na kweli Mambo yangu mengi yalikuwa yananyooka. Nakumbuka Nikiwa shule kuna fursa moja kubwa alikatwa mtu aliyewekwa kwa hila nikawekwa mm....wakat niko huko kuna application moja nlifanya nikapata admission mbali na tz bas kuna raia mmoja akasema mganga wako mzuri.

Mommy Alipoanza kuumwa Sana akapunguza maombi nilipwaya kias flani. Na sasa hayupo kabisa Sina mtu anayeweza kuvunja ratiba zake za milo ya kila siku kujitaabisha kwa ajili yangu.
 
Mkuu hadi hapa naona ushatoa bikira 3, unabahati sana
 
Umeongea la maana Sana dada
 
Kabisa kaka mademu wa uswahilin hawako romabtic , ngeli haipand wao ni xaxa xaf nambie

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
kaka Patrick mwezi February Narudi likizo Mwanza, kindly nitapenda tuonane unipe ABC fulani ambazo nimeona unaweza kunisaidia(za familia na mahusiano), kindly ni PM
 
" Hivi wewe hizo akili zako umezitoa wapi , mbona baba Yako hakua na akili kama hizo" hii kauli inafansna na ya mama angu ila hapo kwenye akili weka tabia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…