Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Yan nimelala sana jion nimrjikuta nimekosa usingiz kabisaNjoo tulale sasa recho achana na jf kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yan nimelala sana jion nimrjikuta nimekosa usingiz kabisaNjoo tulale sasa recho achana na jf kidogo
Nipo mbonaUlipotelewa wapi?
Nicheki inboxNipo mbona
Sina nambazao mkuu😄Nicheki inbox
Subhanallah...... we zero toa teni.... 🤔This time mgongee nyuma mpaka aseme hakuna muendesha malori aliewahi kumgonga km wewe
Oya Mary ni code name sio kwamba kila anaeitwa Mary anahusiana na tabia za hii story wengi ni mguu kichwani km wakina Recho ogopaSema nimesoma hii story yako comprehensively nimekuja kugundua anguko la sisi wanaume ni umalaya na pombe, nadhani ungekuwa mbali sana kimaisha kama ungetulia na Marry,nevertheless,imaginary Marry ni mwanamke mzuri,humble, mtamu,sexy,romantic and one of a kind, ni dhambi kuruhusu kuolewa na kutombwa na jamaa mwingine,with due respect, I hereby commanding you to send her dials to my inbox,Marry anahitaji mwanaume kama mimi,nitumie na namba ya Samira pia nione kama nitaweza kuwatomba kwa ujumla wao,I hope life linazidi kukufunza na utakuwa baba bora,by the way kwa aliyepo Arusha tuonane tunajidili hali ya uchaguzi wa mwenyekiti wa Chadema kwa kina,preferably mwanamke ili walau tutombane at the end,umofia kwenu
Kasongo yeye mobali na ngaiSubhanallah...... we zero toa teni.... 🤔
35Kwani saivi una ngapi!?
Wewe hukuweka star, ukituma reply yenye tusi automaticaly inajiweka star ila mtu aki quote inajitoa zile star inakuwa wazi kama ulivyoandikaHii niliyokutumia nilieka staa Ila ulivyo ni quote inasomeka kivingn
Mambo ya RechoS2 episode 8
Basi baada ya kutuma hio sms Rachel akajibu
" Yaani sipendi mwanaume asiyejiamini, marafiki zangu kuja imekua shida ulitaka nani aje kunitembelea, mbona wa kwenu wameshindwa kuja, kama ni mtoto unasema sio wako sawa tu ntamlea mwenyewe wala siwezi kushindwa, siku ya kwanza tu mtoto tumeanza na kugombana, hivi Patrick unajua nimekuheshimu kiasi gani mpaka nimeamua kukuzalia, unajua wangapi walikua wanalilia hio nafasi? Sawa niache tu basi mi ntakaa na mwanangu"
Sasa hapo ndo nikazidi kupata hasira, yaani huyu binti anaona kama ananisaidia kua nae, nikawa nawaza yanii hata sikustahili kua na huyu binti
Sasa hapa nizungumze jambo moja ila sio kwa ubaya msije kusema mi ni mbaguzi, Rachel kama nilivyosema shule ilikua hamna, yanii nikitoka kazini kuna mambo mengi siwezi zungumza nae tofauti nilivyozoea na Mary, siwezi muelezea mambo yangu ya kazini, ye pia hana cha kunielezea, yaani career wise niliingia kwenye maisha mengine kabisa, kuna muda unaandikiwa sms naomba hera badala ya hela, ni vitu nilivyokua naona kabisa nimeji downgrade lakini nikawa naamini familia haijengwi kwa elimu tu bali upendo na nidhamu, sasa mtu kama huyu tena anaona kama ananisaidia tena mimi, hapo ndo nikazidi kuchoka kabisa
Nikapiga zangu mtungi ikafika mida kama ya saa 4 usiku nikamtumia tu sms ya jina la mtoto maana alikua wa kiume mi huyo nikaenda zangu nyumbani sikurudi tena hospitali, nafika home mama mkwe na ananipigia anaongea kwa furaha ananiambia mwanangu naskia mjukuu wangu anaitwa fulani bora sasa na mimi niitwe bibi fulani, nikaongea nae tu kawaida tukatakiana usiku mwema pale, huyu mama alikua mtu mmoja mwenye hekima sana sikuwahi kugombana nae, mpaka nikawa najiuliza huyu Rachel hizi tabia ametoa wapi
Kesho asubuhi nikaamka nikaenda hospitali nikakuta mdogo wake Rachel(tumuite Gracy) katoka kuwaletea supu pale, nafika mama mkwe akanivuta chemba, akaanza "mwanangu kama ntakukwaza nisamehe kwani jana mmegombana nini na Rachel mbona alikua analia usiku na sasa anasema anataka kwenda kukaa nyumbani kwangu hataki muende kwenu"?
Nikawaza pale nikaona huyu binti ni mpuuzi sana nikamuambia mama mkwe usijali wala sijagombana nae chochote kama anataka hivyo we nenda nae tu mbona kote ni nyumbani tu na sio mbali ntakua nakuja tu, basi bana hapo nina hasira nikaenda nikalipa bills zote pale hospitali, nikawaitia taxi sikutaka hata kuwapeleka nikasema nawahi kazini, basi walivyotoka kuingia kwenye taxi nikatoa laki moja nikampa mama mkwe nikamwambia mama hii ya tahadhari, akashtuka kabla hajapokea akaniambia "mwanangu kwanini asikae nazo mama fulani(jina nililompa mtoto sasa) nikamuambia hapana kaa nazo wewe tu huyo ana uchovu, nikampa zile pesa mi nikaondoka zangu
Nikafika kazini kuna mbuzi nilikua nimeagiza nikamtuma kijana mmoja nikamuambia akifika huko kwao amchinje kabisa awaandalie awape kwa ajili ya mzazi( kimila sisi lazima mzazi achinjiwe, hata kama ni kuku)... Nikiwa kazini nikawa maendeleo namuulizia mama mkwe Rachel hata nikawa sihangaiki nae mpaka kuna muda akanitumia sms " mme wangu nisamehe kama nimekukwaza, naona hauko sawa na mimi naomba tuwe sawa kwa ajili ya mtoto wetu"
Nikamjibu hisia zako tu mi npo sawa!!! Hapo nina mixed emotions, moja nina furaha kupata mtoto wa kwanza huku kwingine nakwazika na tabia za Rachel na mashaka juu ya mtoto pia.....
Basi tumetoka kazini nikapita kwa kina Rachel na wafanyakazi kama wawili wenzangu tukakaa pale kwa muda, piga supu nini badae sana tukaaga kwenda bar kidogo kupiga gambe, haikupita muda mama mzazi ananitumia sms "hongera zako,huyo mme wangu anaitwa nani?"
Nabaki nashangaa nani tena kamuambia
Duuh jf umejiunga ukiwa mdogo sana
Wewe ndio haufai kuliko mleta mada mwenyeweSema nimesoma hii story yako comprehensively nimekuja kugundua anguko la sisi wanaume ni umalaya na pombe, nadhani ungekuwa mbali sana kimaisha kama ungetulia na Marry,nevertheless,imaginary Marry ni mwanamke mzuri,humble, mtamu,sexy,romantic and one of a kind, ni dhambi kuruhusu kuolewa na kutombwa na jamaa mwingine,with due respect, I hereby commanding you to send her dials to my inbox,Marry anahitaji mwanaume kama mimi,nitumie na namba ya Samira pia nione kama nitaweza kuwatomba kwa ujumla wao,I hope life linazidi kukufunza na utakuwa baba bora,by the way kwa aliyepo Arusha tuonane tunajidili hali ya uchaguzi wa mwenyekiti wa Chadema kwa kina,preferably mwanamke ili walau tutombane at the end,umofia kwenu