Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

Sijui utamuoa grace hatari sana
 
Nitasoma badae
 
Raheli mwingine huyu huku anaendelea kutuwakilisha 😹😹😹
Mkuu Hovering njoo umuone Raheli wa jirani yako naye anavyotoa mnyoosho
 
Ukapiga G shemejio Nasubiria nione moto wa bibie Recho jibwa 😹
 
Isijekuwa mdogo mtu (Shemeji) kaliwa kwa baraka za Mama mkwe!!!
 
Kama hivi vyote ni visa vya kweli, Pole kwa majanga yaliyokukuta. Kama ni fictional kaka una kipaji kikubwa sana kama Shigongo. Yani nasoma huku sitamani iishe. Unajua sana kuandika, ebu leta episode nyingine
Kama kuna harufu ya Chai, ila ukweli mwingi. Usukumani ni kweli Ng'ombe 6 ni faini ya Kubebesha mtu Ujauzito
 
Hongera sana Mkuu kwa simulizi nzuri pia umetufanya tufunge mwaka vizuri na kusahau story zote zilizo ishia njiani maana ayo maumivu yake ayaelezeki
Asante Sana Mkuu
 
Mimi siyo nabii, ila Grace naye atagawa utamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…