Smooth Criminal
JF-Expert Member
- May 13, 2024
- 437
- 867
Naweka kambi hapa, siti ya mbele katikati. Jitahidi mkuu iishe leo leo, saa 7 ni siku nyingine. Very interesting story. Au niweke alarm ya saa 7 usiku niikute ikiwa full 🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IpoEpisode ya 5 umeiruka Bila shaka
Usijali mkuu ni mafunzo ya kimaisha tusema una busara delete hii reply nami ni delete
e
Karibu sana. Box lipotayari kufunguliwa.Ila ya kwenye viatu vya mumeo kuna ndala zangu sjui imeishia wapi
Una mlipa,acheni upimbiAsee Mzee mpaka ubembelezwe ndo uendelee
...Episode 4
Basi bana nikasema acha niwe mpole ntajua tu itakuaje, sikutaka a panic tena nikamwambia its okay wala usijali, sasa nikawa nataka nionekane gentleman kumbe sina lolote, nikamwambia uamuzi unaotaka kufanya hauwezi kubadilika maishani tena kama unaona mi sio mtu sahihi ni bora tuache tu.... Akageuka akaniambia nakuamini patrick usije tu kuniangusha, basi hapo amerelax tena nikaanza romance kidogo kidogo anahema tu mpaka nikafanikiwa kumtoa nguo, katika maisha yangu sijawah kukutana na bikra ya namna ile yaani hata kidole cha kati kilikua hakipiti kabisa baada ya majaribio mengi, tukaanza kukimbizana kitandani tu abane miguu nimtanue yaani purukushani tupu mpaka asubuhi bila bila hakuna kitu hata
Asubuhi nikampeleka mpaka Kurasini huko hapo nishakua kama mwehu sikwenda hata home nikaenda kazini, nafika nawasha simu nampigia Mary ile simu inaita huku sms zinaingia kama mvua yaani, kuja kupokea anahema kulikoni uko wapi mme wangu, nikamwambia jana nilipata ajali ila sijaumia sana sema nimelala kituoni mtu wa boda ndo aliumia, dah akaanza kunipa poleh nyingi na maswali mengi tu akawa anauliza, nikamwambia relax mke wangu gari nimepeleka bodi nikija jioni tutaongea....alivyokata simu nikaanza kujiskia sina amani, nikawaza tulipotoka Mary mbona nataka kuharibu maisha kwa tamaa za ajabu tu...
Nikafanya kazi hapo akili sasa ipo kwa samira tunachat muda wote,jioni ikabidi niwahi home samira nikamwambia nina wageni leo hatuwezi kuonana nafika home Mary nae yuko busy kunikagua kama nimeumia na kunipa pole, uzuri hakua mdadasi wa magari hivo hata gari hakuhangaika nalo,
Nikawa rasmi nimejiingiza kwenye double life, huku naishi na Mary huku Samira nae haishi kupiga simu/sms na wote sitaki kuwapoteza rasmi nikaingia kwenye maisha magumu sana kuya maintain
Nikaanza mipango ya kijinga sasa, Mary nikaanza kumpanga kua nataka weekend niende morogoro vijijini huko kuna mradi nimeambiwa na mshkaji wangu ya ufugaji wa nyuki nikaangalie nione kama tunaweza kuwekeza, Mary nae tena ukimwambia mambo ya maendeleo ndo kwanza anafurahi akaniambia ni jambo jema, ilivyofika weekend mimi huyo na samira kuna hoteli moja chimbo sana tumejifungia weekend nzima simu hapo nimezima nikitaka kumpigia mary natoka nje naongea nae namdamganya mtoto kijijini hakuna najiongelesha na mambo ya nyuki( ila maisha haya).... Acha tu...
Huku ndo nikafanikiwa kumtoa usichana samira tukaanza safari mpya ya mapenzi, mpaka leo hua najuta sana kumkuta huyu binti ni bikra maana tofauti na hapo ingekua rahisi sana kumuacha, ila nikaanza ku feel commitment kwake na nikaanza kumpenda sana, maisha yangu nikaanza kuhangaika kua na wanawake wawili na kila mmoja akijiaminisha na hana chembe ya wasiwasi kua yuko mwenyewe, nikawa najiona mjanja kumbe bana sijui kitachonikuta
Kule kwenye ndala zangu tupo episode ya 10ADah!,pole sana mkuuu
Ila namwonea huruma sana mtoto wa watu Mary
Story nzur sana ya mapenz ila ina huzunisha
Ila ya kwenye viatu vya mumeo kuna ndala zangu sjui imeishia wapi
Mimi kwenye mapenz napendaga sana kuwa mkweli maana uongo huwa siuwez,samira ningemwambia ukweli au alipozingua siku ya kwanza ningempotezea kabisa ila kuondoa jam
Na unaifuatilia tu, achana nayo ulale mkuu, Mwandishi tunakusubiri tumalizieNdefu
Samira naye anakulaani🤣🤣🤣Episode 10
Nipo bar nawaza tu, kwanza ishakua aibu kwa mashemeji, pili bado kuna samira kuna msala kama huu unanisubiri tena,nikasema kazi ninayo, kesho yake nikampigia simu samira hapokei, badae akapokea rafiki yake anasema samira anaumwa sana, mpo wapi anasema hostel... Nikaenda.... Kule kwa mary naogopa hata kupiga simu mashemeji sijui wananichukulia aje,
Kumbe hizi siku nimepotea samira alishafunga sana safari kwenda kwenye lile ghetto lingine, kanitafuta bila mafanikio, mpaka siku majirani wakamwambia hua sikai hapo na wao hata hawajui naishi wapi maana kila nikija hapo nipo na samira sasa, tukiondoka sionekani tena mpaka tuje wote, majirani nyoko😔, samira nae akapanick akawa haelewi anajua naishi hapo siku zote
Nimefika pale nilikaa zaidi ya lisaa hata kunsemesha neno moja aligoma mpaka baadae nikaamua niondoke zangu tu, huku kwa Mary dada angu mkubwa akafunga safari kuja tukae kikao, siku ya kikao tunafanyia nilipokua naishi na Mary wanaongea Mary analia tu, sijui nilishikwa na nini nikasema acha tu mi nimuachie kila kitu Mary mi ntaenda kuanza upya maana naona hawezi kunsamehe huyu akiendelea kuniona atakuja kujiua
Kikao hakijaisha nikaingia ndani, nikasomba vyeti vyangu, begi la kazini, vitu vyangu vidogo vidogo na baadhi ya nguo sikutaka kikao tena nikaondoka zangu.... Kiutani utani tu hivo nikaondoka, nikaenda kule kwenye nyumba ya magendo nikamuita samira akaja, nikasema kuja kuua watoto wa watu kisa nini, amefika nikamueleza kila kitu a to z wala sikumficha kitu, akaanza kulia ananiuliza ulikua na mpango wa kumuacha mkeo au, nikamwambia hapana, aise alilia sana akawa ananiambia usione mpaka umri huu nilikua nimejitunza mimi mpaka ukubwa huu tukirudi nyumbani hua tunakaguliwa na mama mambo ya aibu kabisa, nilipanga nikirudi nikatae tu maana ndo nishafanya sasa, akaniambia najua familia hata ningetengwa ila kwasababu yako niliamua liwalo na liwe, nilikua hata nipo radhi nibadili dini unioe, aisee aliongea sana baadae akaondoka analia tu akaniambia kwaheri Mungu atakulipa