Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

Baba Mkubwa: "tatizo lenu vijana mnakosea kwanza ndipo mnakuja kurekebisha. Hapo huna mke".
Mama: "nashukuru kwa mjukuu, sasa anza kutafuta mke."
Pole sana Kijana, baadhi ya yaliyokukuta wewe ndiyo ninayopitia mimi.
Tuko Wengi Sana mkuu tuliopatwa na visanga kutoka Kwa Hawa The so called wanawake. 😭😭
 
Haiboooooo……
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…