Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

S3 episode 1

Yakaanza sasa maisha mapya, ili kupunguza maswali ni kua mama yangu mzazi alikua anafatilia sana maendeleo ya mjukuu wake na kutuma zawadi za hapo na pale pamoja na dada yangu mkubwa, Mary nilikua naongea nae hapa na pale ila sijawahi kumueleza niyayopitia, Samira ndo mtu alishabadilisha na namba sikuwahi hata kumpata tena na sikua na haja hata ya kumtafuta, mama mkwe nae huku ni mtu ambae tulikua nae karibu sana

Muda hausimami, maisha yanaendelea, inafika mahali kila kitu cha mtoto habari napata kutoka kwa grace, bado ni binti mdogo, ananiogopa nikifika nyumbani siwezi kuongea nae hata sentensi 10 ataanza kuogopa itabidi nimuache tu, sasa muda unaenda ila muda mwingi mawasiliano yangu yanakua baina yangu na grace maana ndo ana mtoto, situmii nguvu sana wanatokea kunipenda tu wote, grace na mtoto wangu(tumuite d).... Maana bado wote watoto, ntakuja na ice cream sausages nini wanafurahi tu

Mama mkwe nae humwambii kitu kuhusu mimi, kila kitu anaona kinaenda sawa, Grace ndo mambo yote ya mtoto ananiambia yeye japo bado alikua ananiogopa/kuniheshimu sana.......

Sasa kazini kuna dada alikua anaitwa naomi, ni supervisor wa kazini sema kwenye kitengo ambacho mi sifanyi.... Siku moja weekenda akanitumia sms patrick upo wapi? Nikuuliza we nani kwani? Ndo ananiambia naomi wa kazini upo wapi? Nilivyojua ni yeye nikamwambia nipo mahala fulani kwani kuna nini( ukizingatia hapo department anayosimamia mi sipo) .... Akajibu tu nakuja uninunulie wine!!!

Basi nikawaza nikajua ni mambo ya kazi nikamwambia haya sawa we njoo, sasa huyu dada kafika hakuna la maana analoniambia tukaishia kunywa tu na kupiga story, baadae huyu naomi anaanza kundadisi vipi una familia namwambia its complicated hata sielewi, basi tukakaa sana pale badae nikaaga niondoke naomi anasema tuongozane nijue umefika salama, mi huyo nikatangulia kumbuka huyu naomi kanizidi umri na cheo hata gari analotembelea ni parefu sana na ninalotumia, tumefika grace kafungua nikaingiza gari ndani ye naomi kapaki nje ila aliingia, ndani ananiambia haya usiku mwema mi naenda naona umefika salama

Nikaingia ndani grace akanipakulia nikawa nakula kabla sijamaliza mama mkwe nae huyu akaja wachukua wakaniaga wakaenda, haikupita hata dakika 10 napata sms kutoka kwa grace "mmmh shem huyo uliokuja nae nani? "
 
Kafupi saana
 
S3 episode 2

nikuaga na tabia moja tu hua nikuona sitaki kujadili mada flani hua sipendi kujibu ni bora nikae kimya tu, so grace wala sikuhangaika kumjibu... siku zinaenda hapo kumbuka grace ndo kila siku yupo nyumbani, atashinda na mwanangu watapika watakaa wote, atafua ikifika jioni mama yake atawapitia wote wataenda kulala, na mi hapo najitahidi sio matunda sio juice sio nyama za kila aina kwenye fridge muda wa kuondoka nawapa uhuru tu bebeni mnachoweza nendeni nacho

basi sijui kwanini ikatokea tu bond sana kati yangu na familia ya kina rachel japokua rachel sina mawasiliano nae hata kidogo, Grace akawa sasa mtoto anaanza kupiga hatua atamrecord atantumia whatsapp hata nikiwa kazini, akianza kujisemesha maneno atamrecord atanitumia tu na ndo ikawa ivo, na mimi nishawazoea kila nikitoka kazini siachi wachukulia zawadi

maisha yakaenda grace nikaanza kumuona ni wa maana sana maana ndo ashakua kama mama wa mtoto wangu, zawadi siachi kumletea kila nikimnunulia kitu d na yeye lazima apate chochote kitu

katika mawasiliano sasa na grace kuna siku washaondoka na mama mkwe wameenda kulala nachat nae sijui nilikua naulizia d(mwanangu sasa) anaendeleaje, hiyo siku tumepita na co workers mahali tunapiga vitu nikamuambia "hivi unajua wewe ndo mama yake na d? unamjua vizuri kushinda mama ake, usije badilika endelea kumpenda ivo ivo"

nae akanijibu usijali shem huyu ni kama mtoto wangu tu, basi bana muda ukazidi kwenda maisha yanaendelea kuna kipindi mama mkwe akapata safari tukakaa kujadiliana nikamwambia hawa waache tu hapa kwangu usiwe na wasiwasi

sasa tofauti kabisa na watu wanavyodhani grace mi nilikua namchukulia sana kama mdogo wangu wala si vingine kabisa hata, maana ndani ya hizo siku ambazo walikuja kulala kwangu(ye alikua analala na mtoto chumba tofauti) kuna siku nilikuja kulala hapa hapa nyumbani na naomi, kufika nauliza kuna chakula basi Grace akaamka akatutengea tukala akaenda kulala na sisi tukaenda kulala

kesho naamka nikamtoa naomi akaondoka narudi ndani si Grace wala mtoto hawapo, kwanza nikapanic, piga simu sana hazipokelewi hapo kumbuka mama mkwe hayupo yupo safari... baadae napata ujumbe kutoka kwa grace

"baba d usijali si tupo huku kwa mama tupo salama"

nikabaki nashangaa kwanini sasa wameondoka bila kuniaga, alafu huyu mbona hajawahi kuniita baba(jina la mwanangu) hata siku moja kila siku ananiita shem
 
Lete vitu
 
pameanza kuchangamka sasa😄
 
S3 episode 1

Yakaanza sasa maisha mapya, ili kupunguza maswali ni kua mama yangu mzazi alikua anafatilia sana maendeleo ya mjukuu wake na kutuma zawadi za hapo na pale pamoja na dada yangu mkubwa, Mary nilikua naongea nae hapa na pale ila sijawahi kumueleza niyayopitia, Samira ndo mtu alishabadilisha na namba sikuwahi hata kumpata tena na sikua na haja hata ya kumtafuta, mama mkwe nae huku ni mtu ambae tulikua nae karibu sana

Muda hausimami, maisha yanaendelea, inafika mahali kila kitu cha mtoto habari napata kutoka kwa grace, bado ni binti mdogo, ananiogopa nikifika nyumbani siwezi kuongea nae hata sentensi 10 ataanza kuogopa itabidi nimuache tu, sasa muda unaenda ila muda mwingi mawasiliano yangu yanakua baina yangu na grace maana ndo ana mtoto, situmii nguvu sana wanatokea kunipenda tu wote, grace na mtoto wangu(tumuite d).... Maana bado wote watoto, ntakuja na ice cream sausages nini wanafurahi tu

Mama mkwe nae humwambii kitu kuhusu mimi, kila kitu anaona kinaenda sawa, Grace ndo mambo yote ya mtoto ananiambia yeye japo bado alikua ananiogopa/kuniheshimu sana.......

Sasa kazini kuna dada alikua anaitwa naomi, ni supervisor wa kazini sema kwenye kitengo ambacho mi sifanyi.... Siku moja weekenda akanitumia sms patrick upo wapi? Nikuuliza we nani kwani? Ndo ananiambia naomi wa kazini upo wapi? Nilivyojua ni yeye nikamwambia nipo mahala fulani kwani kuna nini( ukizingatia hapo department anayosimamia mi sipo) .... Akajibu tu nakuja uninunulie wine!!!

Basi nikawaza nikajua ni mambo ya kazi nikamwambia haya sawa we njoo, sasa huyu dada kafika hakuna la maana analoniambia tukaishia kunywa tu na kupiga story, baadae huyu naomi anaanza kundadisi vipi una familia namwambia its complicated hata sielewi, basi tukakaa sana pale badae nikaaga niondoke naomi anasema tuongozane nijue umefika salama, mi huyo nikatangulia kumbuka huyu naomi kanizidi umri na cheo hata gari analotembelea ni parefu sana na ninalotumia, tumefika grace kafungua nikaingiza gari ndani ye naomi kapaki nje ila aliingia, ndani ananiambia haya usiku mwema mi naenda naona umefika salama

Nikaingia ndani grace akanipakulia nikawa nakula kabla sijamaliza mama mkwe nae huyu akaja wachukua wakaniaga wakaenda, haikupita hata dakika 10 napata sms kutoka kwa grace "mmmh shem huyo uliokuja nae nani? "
Huyooo mtotoooooo.
 
Aisee yaani mule mule, wangu alipokutana na ndugu zangu kwenye msiba she pretended and played an angel mpaka mama na ndugu zangu wakaning'ang'aniza baada ya mazishi niondoke nae kuja nyumbani kwangu mkoa ninaofanyia kazi. Nikamwambia sawa wazee wamekukubali kumbuka hatuna muda mrefu so utakaa kwangu mwezi mmoja then utarudi nyumbani kwenu tukiwa tunasomana, akakubali. Wazee wakawa wanashinikiza nijipange ili tutume watu wakajitambulishe na kila mara wanaongea nae kwenye simu wanamwakikishia kuwa kijana wetu atakuoa maana tayari ana kazi, maisha mazuri na umri unazidi kwenda.
Aisee huyu binti kichwa kilimpanda na hapo ndipo nilipoanza kuona rangi zake kama nilivyoelezea huko juu. Hakuna kitu nisichokipenda kama kupangiwa ratiba, kukaguliwa simu yangu na nikiiacha tu na ikaita kama niko mbali kidogo bhasi ataiwahi na kupokea na akiona ni mwanamke tu baada ya hallo yeye ataanza na "Mke wa Fyddell hapa naongea, nikusaidie nini?" Aisee.... kuna siku uvumilivu ulinishinda kwa shutuma ya kitu ambacho sijafanya eti akanikaba as yeye yupo juu yangu, nikamuonya kistaarabu tu niachie, alivyoona nimeshuka akaichukua simu na kuipiga chini kwenye carpet huku kanikaba.. ebanae hasira sijui zilitokea wapi, nilimkata kofi moja matata mpaka chini na aliponyanyuka tu akakimbilia sitting room maana hakuwahi kuniona katika ile hali ya hasira vile. Mimi sikumjali zaidi ya kuvaa tshirt then nikaondoka zangu nje nikimuacha sitting room uso wake ukiwa umeumuka.

Nilimwambia nikirudi nikute umeandaa nguo zako kesho asubuhi unarudi kwenu Dar kwa wazazi wako na kabla ya kutoka nikampogia agent wa busy kumwambia anitumie control number nifanye malipo ya nauli online huku simu ikiwa loudspeaker akisikia. Nipo na washkaji tunapiga gambe nashangaa simu ya mama angu hiyo na pale kuna kelele kidogo nikaona si ustaarabu kuongea na bi mkubwa eneo kama lile. Hakuna siku ambayo wazazi wangu walijazwa maneno ya uongo juu yangu na yule girl kama hiyo siku na neno la mwisho nililoambiwa na mama ni "Ole wako umfukuze huyo binti wakati wazazi wako tumeshampenda na kumbariki". Nilichoka aisee........
Pablo Escobar muuza madawa mkubwa duniani alikuwa anatangaza bei za madawa ya kulevya kila siku asubuhi kwenye Redio ya Taifa ya Colombia.

Wewe unaogopa kutuambia huyo Recho alisema nini huko ukweni.
 
Back
Top Bottom