Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

Niwe mkwel katika kitu kimenimalizia hela na umuhim wake si huoni ni nyege aise nimetumia hela nyingi sana kweny ngono kuliko kweny mapenzi. Mwanamke akiniomba 100k kumpa simpi ila akija tukazini natumia zaidi ya 160k nachukua hotel, kula,nauli na kifutia jasho
 
Hapo kwenye "kaka nisamehe" pameniumiza kihisia kwakweli.
 
Dah Patrick anasimulia real life situations, hiyo ya kufanya ujinga then unaanza kujilaumu na unabembeleza mtu haelewi ni kulia tu ilishawahi nitokea, ukiwa na moyo mwepesi unaweza kujinyonga maana ukifikiria jamii itakuonaje na hadhi uliyokwisha kujijengea unaona dunia imekutenga
 
Toka epsode iliopita niliona kuna bikra inaenda kufumuliwa 😂
 
Mkuu hapa hakuna wa kukulaumu ,wewe shusha stori ili na sisi tuweze kujifunza
 
natamani tukae sehemu tubadilishane mawazo story zetu zinafanana,Nakuja mwanza huu mwezi
Kaka
 
Mkuu hongera sana kwa uandishi wako na uwezo wa kupangilia matukio.

Yawezekana hii ni fictitious story, ila ina mafunzo mengi sana, haya ni mambo yanatokea katika maisha ya kila siku.

Ikikuoendeza, waweza anza utaratibu wa kuandika riwaya, na kwa nchi za wenzetu basi hufanya kuandika novels ambazo nyingi zimetumika kuja kutengeneza filamu.

Hongera sana.
poa mkuu tuombe uzima tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…