Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuandika ilivyo kazi ngumu alafu iwe fictional story tena, kwani jf wanalipa watu?Mkuu hongera sana kwa uandishi wako na uwezo wa kupangilia matukio.
Yawezekana hii ni fictitious story, ila ina mafunzo mengi sana, haya ni mambo yanatokea katika maisha ya kila siku.
Ikikuoendeza, waweza anza utaratibu wa kuandika riwaya, na kwa nchi za wenzetu basi hufanya kuandika novels ambazo nyingi zimetumika kuja kutengeneza filamu.
Hongera sana.
Bora wewe mwenzio natumia wifi ya kanisani apa naona Katibu soon anafunga mlango kwaiyo tutaonana jumapili ijayo🤞🤞patrickk arosto imezidi mkuu pandisha ata episode moja kwa heshima 😂
🤣🤣Bora wewe mwenzio natumia wifi ya kanisani apa naona Katibu soon anafunga mlango kwaiyo tutaonana jumapili ijayo🤞🤞
Sure kuna chimbo nilitaka kujichanganya last year. Ila Mungy yupo jaman80% ya wanandoa walijichanganya sana hasa wanaume. Wengi wanatafuta furaha nje
Sijui kama umeelewa concept yangu.kuandika ilivyo kazi ngumu alafu iwe fictional story tena, kwani jf wanalipa watu?
hapana mkuu hiki ni kitu ambacho kimekuta mwenyewe, halafu mi sijui nikoje tofauti na movie siwezi kusoma fictious story yaani hata huku jf nikaona neno riwaya siwezi kabisa hata kugusaSijui kama umeelewa concept yangu.
Nimesema inawezekana kuwa ni fictitious story/story iliyotungwa ila yenye mafunzo mengi katika maisha ya kila siku. Hata waandishi wa novels na waandika scripts za filamu, sio lazima matukio yote yawe ni yaliyo wakuta wahusika.
Ndiyo maana huwa wanatanguliza neno "based on true story" etc.
Lengo lilikuwa ni kupongeza na kushauri kwa wakati mmoja. Unfortunately, umeelewa tofauti.
Asante Sana Mkuu kwa kujali hisia zetu lkn Mkuu tunaomba basi angalau paragraph ziwe nne na kuendelea ambazo zimeshiba maana izi paragraph zako ukipiga atua mbili tayari umemaliza kusomaS3 episode 4
mimi: Grace tena??? kwani kuna nini mama mbona sielewi
mama mkwe: hakuna ila simuelewi tu huyu Grace mbona tumekuja huku amekua tofauti sana, na walikua wanakwepa tu na kuja huku, nawaona kama wote hampo sawa
nikacheka kidogo afu nikamwambia "mama mimi na Grace tena? naona mama ushaanza kuzeeka wewe sasa"
akaniambia haya mwanangu usijiskie vibaya tu nimeona hampo sawa ikabidi nikuulize,
nikacheka tena nikamwambia mama hebu acha mawazo hayo utajipa uzee bure nae akacheka tukaishia hapo tukarudi ndani, hapo sasa mapigo ya moyo yanaenda mbio nawaza mmmh huyu mama mpaka anauliza hivo hapa kuna jambo kaona si bure, tukakaa pale kidogo badae nikawatoa tukaenda mahali pametulia tu tukaagiza vinywaji pale mimi kama kawaida napiga zangu kali mama mkwe yupo na wine(ndo mara ya kwanza namuona anakunywa) G na mtoto wapo na juice zao
basi hio siku tunapiga tu story na mama mkwe kutaniana hapa na pale, uzuri huyu mama katika kitu nilichompendea hakuwahi kabisa kukaa na mimi tukaanza kuongea mambo ya rachel tena, basi katika maongezi mama mkwe nae kachangamka akaanza kuniambia "mwanangu kweli Mungu hachagui wakati wa kukupa, ona sasa Mungu amekuleta ushakua kama ndo mwanangu mkubwa yaani nichukulie kama mama yako ukipata jambo usisite kuniambia"
nikamwambia sawa mama na mi huku npo ugenini nimepata mzazi chochote kikinisibu ntakushirikisha, hapo najitahidi sana hata G kutomwangalia kabisa maana nilishaona huyu mama ni mdadisi sana, basi tukakaa pale badae nikawapitisha supermarket nikawanunulia vitu kidogo pale nikawapeleka nyumbani mi nikaondoka zangu
Moyo wa binadamu sasa nao sijui ukoje, kwa mbali nakaa naanza kumuwaza G natamani hata anitumie sms lakini wapi, na mi kumtafuta tena naona sio maana karibu wiki 2 hata kunjibu ilikua hamna, nikaenda home nimekaa tu kila nachofanya naona hata hakiendi, imefika kama saa 4 usiku G ndo ananitumia sms " kaka asante, siku ya leo imeenda poa sana kwangu"
nikakaa nikawaza nikawa najiuliza hio kaka tena vipi, anyway nikapotezea badae nikamjibu "karibu, vipi mshalala?"
G: mie bado nipo macho ila mwanangu ameshalala
nikamjibu sawa mie bado nipo nipo tu hapa ntalala badae
badae nae anauliza hivi mama mlitoka nje mlienda kuongea nini? nikawaza, nikamwambia wala hata hakuna jambo la maana.... akajibu " mmmhh wala hata sikuamini".... hapo nakua na mashaka hata kuongea nae sana maana bado nawaza maneno ambayo mama yake aliyoniuliza mchana....
tukaagana pale siku ikawa imepita, siku zinaenda G huku kwangu wala haji tena, akituma sms ni kama za kunchora tu yaani ikawa ni " kaka shikamoo, unaendeleaje na nini..... na mi nikasema sawa kama ndo anavyotaka tuendelee huko huko tu nikawa namuitikia tu tunaongea kawaida wala hakuna anayemkumbushia mwenzake nini kilitokea
zikapita kama wiki 2 kuna siku mama mkwe alikua anaenda sijui kwenye shehere gani naona G ananitumia sms
"kaka mama leo hayupo tutakuja kulala huko na D"
Sawa mkuu.hapana mkuu hiki ni kitu ambacho kimekuta mwenyewe, halafu mi sijui nikoje tofauti na movie siwezi kusoma fictious story yaani hata huku jf nikaona neno riwaya siwezi kabisa hata kugusa
Jamaa katisha sanaAsante Sana Mkuu kwa kujali hisia zetu lkn Mkuu tunaomba basi angalau paragraph ziwe nne na kuendelea ambazo zimeshiba maana izi paragraph zako ukipiga atua mbili tayari umemaliza kusoma
Ni ombi lakini Mkuu kama inawezakana
muda mkuu alafu sasa tatizo sina hata interest hizoSawa mkuu.
Hongera kwa mpangilio wa uandishi. Waweza jaribu pia upande huo wa kuandika stories.
leo nipo tu home ntajitahidi nishushe vipande vingi tatizo kuandika sasa ni ishu kweliAsante Sana Mkuu kwa kujali hisia zetu lkn Mkuu tunaomba basi angalau paragraph ziwe nne na kuendelea ambazo zimeshiba maana izi paragraph zako ukipiga atua mbili tayari umemaliza kusoma
Ni ombi lakini Mkuu kama inawezakana
Boss sasa unazingua. Unaandika fupifupi sana halafu unaishia penye utamu. Hebu gonga ndefu halafu usiishie kwenye utamu.S3 episode 4
mimi: Grace tena??? kwani kuna nini mama mbona sielewi
mama mkwe: hakuna ila simuelewi tu huyu Grace mbona tumekuja huku amekua tofauti sana, na walikua wanakwepa tu na kuja huku, nawaona kama wote hampo sawa
nikacheka kidogo afu nikamwambia "mama mimi na Grace tena? naona mama ushaanza kuzeeka wewe sasa"
akaniambia haya mwanangu usijiskie vibaya tu nimeona hampo sawa ikabidi nikuulize,
nikacheka tena nikamwambia mama hebu acha mawazo hayo utajipa uzee bure nae akacheka tukaishia hapo tukarudi ndani, hapo sasa mapigo ya moyo yanaenda mbio nawaza mmmh huyu mama mpaka anauliza hivo hapa kuna jambo kaona si bure, tukakaa pale kidogo badae nikawatoa tukaenda mahali pametulia tu tukaagiza vinywaji pale mimi kama kawaida napiga zangu kali mama mkwe yupo na wine(ndo mara ya kwanza namuona anakunywa) G na mtoto wapo na juice zao
basi hio siku tunapiga tu story na mama mkwe kutaniana hapa na pale, uzuri huyu mama katika kitu nilichompendea hakuwahi kabisa kukaa na mimi tukaanza kuongea mambo ya rachel tena, basi katika maongezi mama mkwe nae kachangamka akaanza kuniambia "mwanangu kweli Mungu hachagui wakati wa kukupa, ona sasa Mungu amekuleta ushakua kama ndo mwanangu mkubwa yaani nichukulie kama mama yako ukipata jambo usisite kuniambia"
nikamwambia sawa mama na mi huku npo ugenini nimepata mzazi chochote kikinisibu ntakushirikisha, hapo najitahidi sana hata G kutomwangalia kabisa maana nilishaona huyu mama ni mdadisi sana, basi tukakaa pale badae nikawapitisha supermarket nikawanunulia vitu kidogo pale nikawapeleka nyumbani mi nikaondoka zangu
Moyo wa binadamu sasa nao sijui ukoje, kwa mbali nakaa naanza kumuwaza G natamani hata anitumie sms lakini wapi, na mi kumtafuta tena naona sio maana karibu wiki 2 hata kunjibu ilikua hamna, nikaenda home nimekaa tu kila nachofanya naona hata hakiendi, imefika kama saa 4 usiku G ndo ananitumia sms " kaka asante, siku ya leo imeenda poa sana kwangu"
nikakaa nikawaza nikawa najiuliza hio kaka tena vipi, anyway nikapotezea badae nikamjibu "karibu, vipi mshalala?"
G: mie bado nipo macho ila mwanangu ameshalala
nikamjibu sawa mie bado nipo nipo tu hapa ntalala badae
badae nae anauliza hivi mama mlitoka nje mlienda kuongea nini? nikawaza, nikamwambia wala hata hakuna jambo la maana.... akajibu " mmmhh wala hata sikuamini".... hapo nakua na mashaka hata kuongea nae sana maana bado nawaza maneno ambayo mama yake aliyoniuliza mchana....
tukaagana pale siku ikawa imepita, siku zinaenda G huku kwangu wala haji tena, akituma sms ni kama za kunchora tu yaani ikawa ni " kaka shikamoo, unaendeleaje na nini..... na mi nikasema sawa kama ndo anavyotaka tuendelee huko huko tu nikawa namuitikia tu tunaongea kawaida wala hakuna anayemkumbushia mwenzake nini kilitokea
zikapita kama wiki 2 kuna siku mama mkwe alikua anaenda sijui kwenye shehere gani naona G ananitumia sms
"kaka mama leo hayupo tutakuja kulala huko na D"
nasubiri mzigo mkuu sitoki kabisa area hiileo nipo tu home ntajitahidi nishushe vipande vingi tatizo kuandika sasa ni ishu kweli
kwani hapa ana_andika nini mkuu
Sawq.muda mkuu alafu sasa tatizo sina hata interest hizo
konda msafi kuna story yako nishaisoma huku, nadhani unajua kuandika ni ishu kidogo, ila leo ntazishusha za kutoshaBoss sasa unazingua. Unaandika fupifupi sana halafu unaishia penye utamu. Hebu gonga ndefu halafu usiishie kwenye utamu.
leo nipo tu home ntajitahidi nishushe vipande vingi tatizo kuandika sasa ni ishu kwel
pamoja sana mkuu ngoja nijitahidi nishushe nyingineSawq.
Kama sio interest nimekuelewa.
Mimi ni msomaji wa novels pia. Kuna novels zinatokana na visa halisi ma zingine zinatoka a na visa vya kutunga au kufikirika.
Nilivyosoma kisa hiki na uwezo wako wa kupangilia maandishi nikaona kuna kitu cha zaidi ndani yako, ndiyo maana nilishauri.
Yote kwa yote tunashukuru kwa kisa ulicholeta, kina mafunzo mengi na kina akisi maisha halisi ya watu wengi.