Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

s3 epi 5

nikamjibu sawa tu hakuna shaka karibuni

mawazo yakawa yananijia sasa, huyu mama kashakua na mashaka na mimi alafu tena ndo anawaruhusu waje huku tena, au ni mtego hapa? anyway nikasema sawa tu acha tu tuone itavyokua

nikawa nawaza hapa sasa whats my next move? akija itakuaje? Moyo wa binadamu sasa nao hapo na mi G nishaanza kumuwaza sana na yeye ndo huyo hana muda na mimi, sema nikapanga akija safari hii nimpotezee tu niwe kawaida tu, kichwani hapo najiuliza na ye kwanini sasa amekubali kuja huku, basi tu maswali yakawa mengi majibu hakuna

basi ikafika siku mama mkwe akaweleta mpaka home tukakaa kaa pale akaaga ye anaenda kujiandaa, nikampa pesa kidogo nikawa namtania na we mzee usije shindwa kutoa zawadi huko, akacheka akaondoka zake

weird moments

hapo tumebaki wenyewe, ila mapenzi bana, imagine nipo kwangu na G bado mdogo sana kwangu ila nikawa kama sijaamini vile, tukakaa pale namuuliza unapika au niwaagizie chakula, akanambia hapana ntapika tu unataka kula nini, namwambia chochote tu si unajua hata sijui kubagua vyakula, basi muda ukaenda akaanza kupika mi hapo nipo na mwanangu tunacheza tu hapa na pale.. akamaliza kupika akaenda kuoga akaja pale akamlisha mtoto badae tukala wakawa wanaangalia sijui nini huko kwenye tv mi hapo nagusa gusa pombe kidogo kuna report ya kazini nikawa namalizia

kumaliza pale tukaanza sasa kuibiana macho hapa na pale na G, ye yupo kimya kabisa tofauti na siku zote... nimekaa pale naona dogo kama anataka kusinzia nikamwambia G mlete huyo nikakae nae ndani, nikamchukua mtoto nikaenda nae chumbani yeye tukamuacha anaangalia sijui tamthilia gani

kufika ndani tumekaa kaa na dogo mimi nipo busy na simu, badae usingizi ukamchukua akalala, baada ya kama muda G ananitumia sms, mlete huyo tukalale nikamjibu muache tu alale huku, akajibu hapana nimezoea kulala na mwanangu mlete tukalale

nikawaza pale wala hata sikumjibu, nawaza sasa hapa nianzishe uchokozi au nimpotezee, ikapita kama nusu saa nikamtumia sms njoo na wewe mlale tu huku sasa, naskilizia atajibu vipi naona kimya tu, hivi ushamtumia mtu sms alafu ukawa na shauku ya kutaka kujua atajibu nini.... nikawa nasubiri ajibu naona kimya tu na mi hapo nishasema simfati wala nini

ikapita kama nusu saa akajibu " kaka mi naogopa ujue" nikawaza hizi kaka mbona zimekua nyingi siku izi, nikamjibu njoo tu wala siwezi kufanya kitu ambacho hutaki, siwezi rudia tena usije nichukia bure

hapo najiona kama fala sasa nawaza huyu mtu yupo tu hapo sebleni afu nipo busy kuchat nae ni kwamba namuogopa au? aisee mapenzi ni ujinga sana

kimya kikapita kama dakika 10 ivi naskia mlango unafunguliwa akaingia akafika akawa anazuga sasa na mtoto, mara mbona umemlaza hivi mara nini, basi akamuweka mtoto vizuri akajigeuza upande mwingine akajilaza.... hapo kumbuka mtoto kawekwa katikati mimi hapo nawaza sasa hapa inakuaje, basi mi npo busy na simu ye kimya tu ila akilini nikawa najua huyu hajalala wala nini

ikapita muda kidogo mama mkwe akapiga simu nikawa nawaza mmmhh nini tena muda huu, basi nikapokea tukasalimiana akawa anauliza washalala hao? nami namwambia muda mrefu tu walishalala.... ile kuzuga nikawa namtania vipi kuna pombe huko akaniambia yaani acha tu hakuna kitu nikawa namtania na we uache sasa kua unaenda sherehe za wazee, tukaongea kidogo tukaagana akakata simu

badae ndo G anaanza kuuliza ni mama huyo? nimwambia ehh, nikamuuliza vipi wewe nikajua ushalala, akawa anazuga ni simu tu ndo imenishtua....

sasa hapo usingizi ndo hakuna kabisa nikawa busy tu na simu, mara G tena huyu anauliza " we mbona hulali?" nami namwambia usijali ntalala tu mkilala nyie. basi kimya tu kikapita... badae akili ikanijia inaniambia patrick be a man bana, kwanini unacheza drama na mtoto mdogo kama huyu...

basi nikamsogeza mtoto upande wa ukutani nilipokua nimelala, nikajisogeza kwa G nikamwambia njoo nikukumbatie ulale vizuri, nikamgeuza upande wangu nikamhug hapo anahema tu mapigo ya moyo yapo kasi... nikamuuliza nini mbona kuhema huko akaniambia hakuna kitu.... basi nimemhug tu pale nikamwambia kua na amani wala sikufanyi kitu maana siku hizi huniamini kabisa....

sasa hio siku nikawaza nikasema huu ni muda wa ku gain trust yake, unajua hakuna kitu mwanamke haamini kama sisi wanaume tunaweza zuia nyege zetu, nikasema leo narudisha trust, hapo nikawa namuuliza sasa mbona ulinichukia, kuongea napo hawezi anahema tu, basi nikamsemesha tu pale mpaka akaja pitiwa na usingizi akalala hapo tumekumbatiana tu hio siku ikapita ivo

asubuhi nikawahi kuamka nikaoga nikaondoka zangu nikawaacha home, haikupita muda naona text ya G

" yaani kaka ukiendelea kua mtoto mzuri hivi ntakupenda sana"
 
Hatari sana
 
Back
Top Bottom