Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

Mkuu RIP in advance
 
Simulizi bora kuliko zote kwa mwaka 2024
Unamjua mtaalam INSIDER MAN mkuu.
Huyu aliisimamisha jf (MMU) kama mwaka na zaidi na story yake ya UBER,aisee ile ilikuwa ni shido.

Sitosahau kuwa na mimi nishawai soma ile story wakati nipo kwenye foleni ,afu nikaweka reverse kikubwa nilishtukia mapema wakati tuna take off laasiivo cjui kingejiri nini🤷🏿‍♂️
 
Punguza promo hio story sio kila mtu aliipenda ngono ngono ngono mnapenfa story za kutombana tombana muda wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…