Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

Kazi kweli kweli
 
Uko sawa brooo,,
Kazi iendelee 💪
 
Hii stori ningekuwa na studio ningetengeneza movie Tena series Kali maana tayar stori nzuri ipo ya kuanzidhishia
 
Laiti kama member mngekuwa na akili kama zangu kusingejaa comment humu..
Na hakuna haja ya kumpressurize mleta story aendelee just read,chill...en life goes on
Naamini kuna members wengi san wanasoma hii story then wako kimya kwa yoyote anayefatilia hii story kimya kimya like hii comment..
Calmness!!
 
Laiti tungekuwa wengi tunatuma comment fupi tu tena iseme. " asante nimetuma chochote kitu check sms jina la wakala
..........

Badala yake kelele za watu, unakuta mtu ame comment thread ndefu. Mjinga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…