magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Elineva kakupiga GUSA ACHIA TWENDE KWAO.recho ni kama Elineva tu, pumbavu sana elineva
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elineva kakupiga GUSA ACHIA TWENDE KWAO.recho ni kama Elineva tu, pumbavu sana elineva
Aah kubabake nilifikiri ndo imeisha😂😂Episode 11
maisha yakaendelea hapo nishabadili na namba za simu nikarudi kazini ila nikawa mlevi sana, kuna siku mpaka director alikua mmama mmoja hivi alinifukuza ofisini akaniambia we nenda kwanza mpaka kesho, barua za onyo nikawa nakutana nazo karibu kila wiki, Maisha yakaendelea nikaja kuona nikiendelea kufanya kazi dar sitapata amani ya moyo, nikaanza mipango ya kutafuta kazi sehemu nyingine kimya kimya nikaja kupata kazi mwanza ila nilitakiwa nisubiri kama miezi miwili ndo niripoti , sasa kuna siku nimekaa Mary akanipigia sijui hata namba zangu alipewa na nani, akanisihi sana tuonane nikamuambia sawa, basi badae tumeonana yupo smart kweli na kazini alirudishwa pale pale, akawa ananiambia twende ukachukue vitu vyako vilivyobaki, tukaenda home tukaishia kusex tu, mazoea yakaanza taratibu nikaona no this is not right nikamwambia tuache tutarudisha matatizo tu, nikaja kuamugaza naenda mwanza nahama huku, akakubali hivo hivo mpaka siku naondoka tulilala wote asubuhi niliondokea kwake
Mary kwa sasa ameshaolewa na ana mtoto mmoja, hua tunawasiliana sana yaani sana ila hatujawahi kuonana tangia hio siku naenda mwanza yaani hata nikiwa dar tulishakubaliana tusije onana kabisa, kuna siku nipo dar ananiita mikocheni huwez kuamini nilienda ila njiani roho iligoma nikarudi, hata leo hii nimetoka kuongea nae tunashauriana mambo mengi ya kimaisha
samirah ye bado hajaolewa na nina mawasiliano yake hua tunaishia kutaniana hapa na pale tu japokua nae sijawahi kumuona toka ile siku tunaachana akiwa bado chuo, 6 years ago!!!
Mimi sasa, mwanza ndo nikakutana na machizi wenzangu kwenye mapenzi nikapigwa matukio mpaka akili ikakaa sawa, ndo lengo la kuleta huu uzi ila muone kua niliacha wanawake wa aina gani na nikaja kutumbukia na kupigwa matukio na wanawake wa aina ipi, wanakuambia mkataa pema pabaya pamuita, hapa ndo sasa story inaanza rasmi wadau
Mchizi anatembezewa mikong'oto hadi sio poa. Oya!Muendelezo..leo adi nimejiunga JF rasmi kwa ajili ya hii series 😅😅
Anawaza daah hapa nimepigwa parefu mnoPatrick akimtazama Rachel.View attachment 3186547
Never date a broke woman utapigwa uchakae ufe ukikuta waliokua wanamfukua mtaro ndio utazima ghafla80% ya wanandoa walijichanganya sana hasa wanaume. Wengi wanatafuta furaha nje
😂Never date a broke woman utapigwa uchakae ufe ukikuta waliokua wanamfukua mtaro ndio utazima ghafla
Mimba aliyopewa sio yake ni ya wale wazee 6, picha halijaisha subiri hapo hapoKimekukuta nini mwanetu
Karuka kinyesi kakanyaga mavi bila bila mpaka hapo ni sifuri zero juu ya zeroHuyo kapondaa na kusigina kabisa 😅😅