Sainya Jnr
JF-Expert Member
- Mar 14, 2019
- 467
- 1,112
Nakita kambi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbombo mbimbisa.S2 episode 4
Basi bana tukakaribishwa na wale wazee wakaanza kujitambulisha mwingine mjomba mwingine sijui nani basi tu balaa tupu, hapo ba mdogo na yule mshenga nao hawaelewi niliwaambia tutawakuta tu Rachel na mama yake kazi itakua nyepesi...
Yule mzee mshenga akajieleza weee, kua kijana wetu amefanya uharibifu hapa bomani kwenu tumekuja kujisalimisha na kama mila zinazosema tulipie fidia/faini kwanza alafu tujipange siku nyingine tuje kwa ajili ya mahari sasa maana hatuwezi kujadili yote kwa pamoja
Kuna mzee mmoja akisimama kwa hasira akasema " nyie mnaongea nini?, Yaani mshamuharibu binti yetu alafu mnaongelea mambo ya faini kwanza tena, hapa tunamaliza mpaka na mahari kama hamtaki msitupotezee muda hapa msilete utoto wenu hapa"
Mzee mwingine nae akawa anatishia kuondoka kama hatutajadili na mahari kabisa, yaani kiufupi wale wazee walikua wakali wakatutreat kama watoto kabisa hakuna ustaarabu wala nini, nikaanza kuwaza Patrick mimi nimeingia kuna balaa gani mbona hawa watu hatuwezi hata kukaa tukaongea vizuri tu wanafoka kila mda
Uzuri yule mzee mshenga alikua mstaarabu sana wala hakupanic akazidi kuwaelewesha tu ila hawataki kuelewa, mwisho akaomba sisi wageni tutoke tujadiliane nje kwanza, tukatoka sisi watatu, yule mzee mshenga akaanza
"kijana wangu, kama unavyoona hii ngoma ishakua ngumu sasa tunafanyaje?
Kabla sijamjibu ba mdogo akadakia
"Hawa wasituone sisi wajinga, hatuwezi kubadili lengo la kuja huku wasipokua makini tutaondoka zetu tuwaache hapa"
Na mi hapo nishachukia tu sana nipo kimya tu, yule mzee mshenga ndo akawa anatutuliza, nikapata wazo nikampigia Rachel mara ya kwanza hakupokea, mara ya pili ndo akapokea
Nikamuuliza upo wapi mbona hata sikuoni na bado mmebadilisha utaratibu wote
Rachel: " mi npo huku ndani kwa jirani tumeambiwa tusitoke mpaka kikao kiishe, nisamehe mme wangu hata mi sikujua wangepanga hivi'
Mimi: " sasa mi siwaelewi wazee wako hawataki tuongee mi naondoka zangu zawadi za mama tumeziacha ndani huko"
Rachel: " usifanye hivo jamani, kwanini unataka kunitia ai.. "
Kabla hajamaliza nikakata simu, ba mdogo nae mi mzee mmoja mishen town mjanja mjanja sana akamwambia yule mshenga twende wakigoma maongezi tuwaambie tutakuja siku nyingine tuondoke zetu
Tukarudi ndani bado wale wazee hawataki maongezi ya faini wao ni vyote kwa pamoja na mahari, yule mshenga akaomba radhi akaomba tukajipange tuje siku nyingine, ni kama machale yaliwacheza wakajua hawa tunaweza tusiwaone tena wakajifanya kuzuga pale kua tuongee kuhusu faini kwanza alafu mahari ije iongelewe na iletwe kabla ya mtoto hajazaliwa
Basi wakaanza sasa faini, zawadi sijui za mama,babu makokoro mengine na ngombe 6😀, dah pale yule mshenga akaguna akasema ni faini wazee wangu au mahari kabisa, wakasema hio ni faini tu na hapo tumewaonea huruma maana mmekuja wenyewe, basi wakaanza kubishana pale mpaka wakaishia ngombe wanne kila ngombe waka mu valuate kwa laki 3 ikawa milioni laki 2, ukiweka na yale makorokoro ikaja kama milioni laki 6, hapo mi nina hasira nataka tu tumalize tuondoke, nilikua na kama milion laki 3 nikawapa tukasema hio laki 3 iletwe baada ya wiki moja, dah hio laki 3 wakatuandikisha maelezo kabisa na kusign nikapata hasira namuambia mshenga au niende watolea akawa ananiambia acha tu hakuna shaka
Baada ya wao kuvuta mpunga sasa ndo kidogo naona wakaanza kutuchangamkia sasa, kina Rachel na mama yake ndo wakaja wakaleta chakula kinywaji pale tukajumuika tukaaga tukaondoka, stop ya kwanza atm nikatoa pesa kidogo maana nilishapukutishwa kule tukapita bar kula kinywaji kwanza, yule mshenga akaniambia kijana hawa wazee sidhani kama kwenye mahari tutafika muafaka
Daah hii hatari mzee.S2 episode 5
Hilo sakata likaisha bana, Rachel jioni karudi namuuliza hao wazee ni kina nani, ye anacheka tu anasema sijui hata mama kawatoa wapi, dah moyoni nikawa nasema tu mbona hawa watu kama hawapo serious nikaanza kujuta sasa naona mbona kama nakosea, hapo mama sijamuambia anaishia kuskia tu maneno juu juu kwa watu
Baada ya kama siku 2 hivi, Rachel kuna simu yake ya zamani ilikua samsung sijui toleo gani ila zile za nyuma kidogo akawa kaniomba nimbadilishie kioo kilikua kimevunjika ili aje ampe mdogo wake wa kike yule alikua yupo form 2, sasa nikaja kutoka nayo siku naenda kazini nikaacha kwa fundi jioni nikaipitia, katika kukagua kioo kama kipo sawa nikawa nimeingia sasa kwenye simu haikua na password wala nini dah huko sasa ndo nilikutana na balaa ambalo siwezi lisahau
Nikaingia kwenye sms za kawaida aisee nilichoka, zilikua na span ya kama mwaka, ni kama sms za mwaka mzima hajikufutwa, huko nilikutana na sms za wapenzi kama wote yani, madereva wa malori, wame za watu, ma dj wa club, wafanyabiashara, vijana wa mtaani tu yaani vurugu tupu, nikapanic sana nikapita mahali nikaanza ichunguza simu taratibu, sms zile ambazo zilikua wazi kabisa kwamba ametembea nao maana unakuta wanakumbushiana kabisa waliyofanya zilikua za wanaume kama 8 ivi
Kuna kama watu 6 hizi hazina ushahidi wa moja kwa moja kama walifanya au, hapo ni sms za kawaida, nikazama whatsapp sasa... Uwiiii.... Huyu binti ni malaya sijapata kuona huko napo watu washamla sana, unakuta sms anaelekezwa njoo guest flani, mara namtuma boda akufate alafu watu tofauti, kuna moja jamaa anamuambia nakufata unipe binti anadai siwezi tumejuana leo tu mara subiri nikuandalie siku nyingine ili nikupe vizuri, jamaa akakomaa demu badae akamwabia haya nifate, ni hio namba haijaseviwa hata😔, hapo na mimi binti nishaanza kumpenda nilijikuta natetemeka tu sijawahi kuumia vile
Nikaja gallery sasa, kuna video mbaba mtu mzima wapo chumbani anampiga romance huku anamnywesha savannah, yaani kwenye hio simu nikisema nieleze mambo yote niliokuta naweza andika mpaka nikachoka maana ni mengi mno hayaelezeki,
Kuna chat nikakuta anachat na yule dada wa mgahawa yaani hapo ndo kila akienda kuliwa ndo hua anamuambia shoga yake, mpaka kuna siku yule dada wa mgahawa akamwambia "shoga yangu na we sasa punguza umalaya"
S2 episode 12
baada ya training kuisha nikarudi, nakumbuka kipindi hicho pesa ilikuepo si haba maana tulijibana na posho tulipewa nyingi ukizingatia maisha yetu ya kibongo, basi nakumbuka nikarudi nikaenda wasalimia na kupeleka zawadi nikaondoka zangu, Rachel akaanza nitafuta mme wangu nakuja tulee mtoto wetu na blah blah kibao nikamwambia we nipe muda ntakuambia, ikapita muda mi kimya tu naenda kuona mtoto naondoka zangu, hapo kuna muda simkuti maana mtoto alishaacha na kunyonya
katika hela nilizobakiwa nazo nikaenda site nikamwaga tofali za kutosha nikaanza kuinua boma taratibu, sasa kuna kipindi Rachel akawa anauliza vipi kuhusu zile m3 nilizokuomba za mtaji mi nikwambia kwa sasa sina pesa nina ujenzi, basi sijui ni hasira au kesho yake akaniambia " kuna mtu kanitafutia kazi geita najiandaa kuondoka na mwanangu"
nikawa nawaza huyu mwanamke mbona kila siku ana jambo tu, lengo lake nipate stress tu au nini, nikampigia namuuliza sawa umepata kazi huko ukienda na mtoto na maisha hata hujaanza huko mtaishi vipi na wapi? akajibu " tutaishi tu mbona mi nilikua bila baba"
basi nikaona huyu mtu ni kama anataka ligi, jioni nikaenda kwao nikamkuta yupo na mama mkwe na grace, yule mdogo wao mdogo wa mwisho wa kiume kuna kipindi baba yake mzazi alikuja kumchukua, basi baada ya salamu na nini mama mkwe nikamueleza kila kitu tukawa kama tupo kikao, nikawaambia mwanangu haendi popote kama wamemchoka nimchukue nimpeleke kwetu maana na kunyonya kashaacha, uzuri huyu mama mkwe nachompenda hakua kabisa upande wa binti yake kwenye mambo ya kipuuzi, mama mkwe akawa mkali sana akasema mtoto haondoki mahali akawa anamwambia mtoto wake kama umepata bwana huko we ondoka ila mjukuu wangu haendi popote, baadae huyu mama akaanza kulia anamuuliza rachel umesahau maisha tulioishi kwanini unajitafutia matatizo bure ni nini ambacho hupati
hapo na mi nina hasira nikamwambia yule mama mtoto wangu nafanya mpango wa kuja mchukue na kuanzia leo mi najitoa ule utambulisho hebu ufate siku huyu akileta mwanamme mwingine we mpokee tu na mahari chukua, mi nikaondoka zangu
kweli bana ikapita muda Rachel akaja kuondoka akaenda geita nilikuja kujua baada ya muda kua alipata mwanamme alikua ana maduara mgodini huko ndo alimtoa huku ila uzuri mtoto alimuacha kwao, Mungu nae ni mpaji mi nikabadilishwa kitengo nikaenda kitengo kingine tulikua tunapata pesa sana nyumba yangu inazidi kukimbia tu moyoni nina amani, kuhusu swala la mahusiano sikua na mahusiano rasmi tena ikawa ndo hivo tena tunatoka kazini tupo na co workers tunaenda viwanja tu, wadada wa kujiliwaza hapa na pale walikuwepo wengi tu hasa hasa wanafunzi wa saut pale
mawasiliano na rachel yatakataa rasmi, nikawa namuambia mama mkwe sasa nitafute mfanyakazi nianze tu kukaa na mwanangu, akawa anagoma ananiambia italeta picha mbaya ukizingatia upo mwenyewe hapo, kumbuka hapa huyu mama kashakua kama mama yangu mzazi haishi kunipigia simu, kila siku ananiambia mwanangu Mungu atakusaidia tu mtoto atakua
Grace nae akamaliza form 4 ndo ikawa muda wote yupo na mtoto maana mama mkwe alipata kibarua mahali, kwa hio muda mwingi ikawa ndo mtu ninayewasiliana nae sana kujua mahitaji na hali ya mtoto na nini japokua karibu kila baada ya siku 2 nilikua naenda kuwaona
sasa kuna kipindi mama mkwe akaanzisha utaratibu, siku za weekend anamtuma huyu Grace wanakuja kushinda huku kwangu ili nipate muda wa kukaa na mtoto, Grace nae atafanya usafi huku, kufua nguo , kupanga vitu na kupika n.k, ye akitoka kazini ndo hua anawapitia wanaenda nyumbani, ikafika mahali wakazoea nawaachia tu funguo hata siku npo kazini watakuja kukaa kwangu badae mama mkwe atawapitia waondoke
nakuja na season 3 sasa ambayo ndo itakua mwisho huku ndo kuna balaa zito, stay tuned
Aisee yaani mule mule, wangu alipokutana na ndugu zangu kwenye msiba she pretended and played an angel mpaka mama na ndugu zangu wakaning'ang'aniza baada ya mazishi niondoke nae kuja nyumbani kwangu mkoa ninaofanyia kazi. Nikamwambia sawa wazee wamekukubali kumbuka hatuna muda mrefu so utakaa kwangu mwezi mmoja then utarudi nyumbani kwenu tukiwa tunasomana, akakubali. Wazee wakawa wanashinikiza nijipange ili tutume watu wakajitambulishe na kila mara wanaongea nae kwenye simu wanamwakikishia kuwa kijana wetu atakuoa maana tayari ana kazi, maisha mazuri na umri unazidi kwenda.S2 episode 10
Mama namjua nikampotezea tu japo nafsi yangu ilikua inaniambia kile kile ambacho kilikua kipo moyoni mwangu, lakini kitendo cha kuendelea kufanyiwa kiburi na Rachel ch kugoma kuja nyumbani hata wageni walipokuwepo nikasema hakitapita hivi hivi, nikasema ni muda muafaka sasa wa kuacha kujifanya kijana mwema sana, mimi huyo sasa nikakata mawasiliano na Rachel pamoja na mama yake, yaani hivo tu, simu sipokei, sms sijibu, hakuna cha matumizi wala nini, kitu pekee nachokumbuka kutuma tena namtuma mtu ilikua pampers za mtoto, sabuni za kufulia, mafuta ya mgando ya mtoto na wipes!! Nikitoka kazini nachelewa kurudi nyumbani basi tu nikaanza ratiba mpya nazojua mimi
Wakalalamika sana kwa sms lakini wapi mi npo kimya tu, wanakuambia dawa ya jeuri ni kiburi, imepita kama mwezi siku natoka zangu kazini nafika nyumbani namkuta Rachel yupo na mtoto, mama mkwe na mdogo wake(Grace) wananisubiri, nikajifanya kama sijashtuka wala nini nikafungua nikawakaribisha ndani, basi na wao wakazuga kama hakuna tofauti yoyote tukawa tunapiga story kawaida badae nikamwagiza boda akaleta mahitaji pale wakawa wanapika mi nikatoka nikawaacha pale, nimerudi badae mama mkwe kashaondoka yupo Rachel na mdogo wake
Rachel ndo akawa karudi sasa kwa style hio maisha yakaendelea badae tukawa sawa tu ila ndo hivyo ukishakosa imani na mtu mnaishi kwa machale tu sana, kufupisha sana mambo japo katikati hapo ugomvi haukosekani, mtoto ndo ana kama miezi 9 ivi, ikatokea nafasi kazini za kwenda training nje, mwanzo sikutaka kwenda ila kuna bosi wangu akanishauri niende nikirudi anaweza nibadilisha kitengo chenye maslahi zaidi, nika apply zile nafasi nikakaa kimya kusikilizia majibu maana waliokua wanataka walizidi nafasi zilizotolewa
Baada ya kama mwezi majibu yakatoka nimepata nafasi ila kuondoka ilikua kama baada ya miezi miwili, na kule ni kwenda kukaa wiki 8, nilivyoona posho ambayo tutakua tunalipwa kule nikaona si haba nikapata msukumo nitafute eneo ninunue nijenge hata msingi kabla sijaondoka, nilikua na akiba yangu fulani kweli nikafanya mpango nikapata kiwanja kikubwa tu pembezoni kidogo ya jiji nikaanza kujenga msingi kimya kimya hapo sijamwambia mtu wala hata sikuona sababu....
Hapo swala la safari wanalijua sema muda bado ulikua haujafika, sasa kuna notebook moja nilikua naandika mahesabu ya site ili co monitor cost Rachel akaja kuiona akawa ananiuliza hayo mahesabu ya nini, nikamwambia kuna mahali nimenunua najenga msingi huko, akakaa kimya ni kama mtu ambae hakufurahishwa maana hata hakuniuliza ni wapi, mchana npo kazini napata ujumbe toka kwake nae kaandika business proposal yake sijui biashara gani anataka milion 3 kabla sijaondoka ya biashara yake, nikamjibu tu plain sina pesa kwa sasa huoni kama najenga
Aisee ni kama nilipalilia moto, huyu binti kumbe alikua na mdomo sana nilikua simjui vizuri
Daaa mstari wa mwisho nomaAisee yaani mule mule, wangu alipokutana na ndugu zangu kwenye msiba she pretended and played an angel mpaka mama na ndugu zangu wakaning'ang'aniza baada ya mazishi niondoke nae kuja nyumbani kwangu mkoa ninaofanyia kazi. Nikamwambia sawa wazee wamekukubali kumbuka hatuna muda mrefu so utakaa kwangu mwezi mmoja then utarudi nyumbani kwenu tukiwa tunasomana, akakubali. Wazee wakawa wanashinikiza nijipange ili tutume watu wakajitambulishe na kila mara wanaongea nae kwenye simu wanamwakikishia kuwa kijana wetu atakuoa maana tayari ana kazi, maisha mazuri na umri unazidi kwenda.
Aisee huyu binti kichwa kilimpanda na hapo ndipo nilipoanza kuona rangi zake kama nilivyoelezea huko juu. Hakuna kitu nisichokipenda kama kupangiwa ratiba, kukaguliwa simu yangu na nikiiacha tu na ikaita kama niko mbali kidogo bhasi ataiwahi na kupokea na akiona ni mwanamke tu baada ya hallo yeye ataanza na "Mke wa Fyddell hapa naongea, nikusaidie nini?" Aisee.... kuna siku uvumilivu ulinishinda kwa shutuma ya kitu ambacho sijafanya eti akanikaba as yeye yupo juu yangu, nikamuonya kistaarabu tu niachie, alivyoona nimeshuka akaichukua simu na kuipiga chini kwenye carpet huku kanikaba.. ebanae hasira sijui zilitokea wapi, nilimkata kofi moja matata mpaka chini na aliponyanyuka tu akakimbilia sitting room maana hakuwahi kuniona katika ile hali ya hasira vile. Mimi sikumjali zaidi ya kuvaa tshirt then nikaondoka zangu nje nikimuacha sitting room uso wake ukiwa umeumuka.
Nilimwambia nikirudi nikute umeandaa nguo zako kesho asubuhi unarudi kwenu Dar kwa wazazi wako na kabla ya kutoka nikampogia agent wa busy kumwambia anitumie control number nifanye malipo ya nauli online huku simu ikiwa loudspeaker akisikia. Nipo na washkaji tunapiga gambe nashangaa simu ya mama angu hiyo na pale kuna kelele kidogo nikaona si ustaarabu kuongea na bi mkubwa eneo kama lile. Hakuna siku ambayo wazazi wangu walijazwa maneno ya uongo juu yangu na yule girl kama hiyo siku na neno la mwisho nililoambiwa na mama ni "Ole wako umfukuze huyo binti wakati wazazi wako tumeshampenda na kumbariki". Nilichoka aisee........
😂😂😂😂😂Aisee yaani mule mule, wangu alipokutana na ndugu zangu kwenye msiba she pretended and played an angel mpaka mama na ndugu zangu wakaning'ang'aniza baada ya mazishi niondoke nae kuja nyumbani kwangu mkoa ninaofanyia kazi. Nikamwambia sawa wazee wamekukubali kumbuka hatuna muda mrefu so utakaa kwangu mwezi mmoja then utarudi nyumbani kwenu tukiwa tunasomana, akakubali. Wazee wakawa wanashinikiza nijipange ili tutume watu wakajitambulishe na kila mara wanaongea nae kwenye simu wanamwakikishia kuwa kijana wetu atakuoa maana tayari ana kazi, maisha mazuri na umri unazidi kwenda.
Aisee huyu binti kichwa kilimpanda na hapo ndipo nilipoanza kuona rangi zake kama nilivyoelezea huko juu. Hakuna kitu nisichokipenda kama kupangiwa ratiba, kukaguliwa simu yangu na nikiiacha tu na ikaita kama niko mbali kidogo bhasi ataiwahi na kupokea na akiona ni mwanamke tu baada ya hallo yeye ataanza na "Mke wa Fyddell hapa naongea, nikusaidie nini?" Aisee.... kuna siku uvumilivu ulinishinda kwa shutuma ya kitu ambacho sijafanya eti akanikaba as yeye yupo juu yangu, nikamuonya kistaarabu tu niachie, alivyoona nimeshuka akaichukua simu na kuipiga chini kwenye carpet huku kanikaba.. ebanae hasira sijui zilitokea wapi, nilimkata kofi moja matata mpaka chini na aliponyanyuka tu akakimbilia sitting room maana hakuwahi kuniona katika ile hali ya hasira vile. Mimi sikumjali zaidi ya kuvaa tshirt then nikaondoka zangu nje nikimuacha sitting room uso wake ukiwa umeumuka.
Nilimwambia nikirudi nikute umeandaa nguo zako kesho asubuhi unarudi kwenu Dar kwa wazazi wako na kabla ya kutoka nikampogia agent wa busy kumwambia anitumie control number nifanye malipo ya nauli online huku simu ikiwa loudspeaker akisikia. Nipo na washkaji tunapiga gambe nashangaa simu ya mama angu hiyo na pale kuna kelele kidogo nikaona si ustaarabu kuongea na bi mkubwa eneo kama lile. Hakuna siku ambayo wazazi wangu walijazwa maneno ya uongo juu yangu na yule girl kama hiyo siku na neno la mwisho nililoambiwa na mama ni "Ole wako umfukuze huyo binti wakati wazazi wako tumeshampenda na kumbariki". Nilichoka aisee........
Umetisha mzee.Wakuu natumaini wote mpo salama na mnaendelea vyema kusherekea sikukuu hizi
Dah, kwa upande wangu mimi sipo sawa kabisa hapa najiona mkosefu sana na sijui hata jamii itanielewa vipi, nimekuja huku naamini kuna wakubwa na watu wenye busara naweza pata ushauri.. Nayopitia kwa sasa na jinsi nilivyokua na mahusiano imara huko nyuma ni mbingu na ardhi. Kisa ni kirefu kiasi chake hivyo naomba muwe wavumilivu
Mikosi ilianza kama miaka 7 iliyopita nikiwa nimemaliza chuo, nilikua na maisha bora sana yasiyo na misukosuko yoyote, nilianza mahusiano na mrembo mmoja tukiwa form four wote sema shule tofauti, yeye akisoma shule ya bweni ya wasichana pekee na mimi kipindi icho niko boarding school boys tupu, huyu binti mpaka kumpata nilitumia sana nguvu acha tu hua sitaki hata kukumbuka, ni binti ameshika sana maadili sidhani kama kuna binti wa namna hiyo endelea kufatilia huu mkasa utaelewa kwanini nakuambia hivo....ili iwe rahisi acha tumuite mary japo sio jina halisi ntajitahidi kuficha codes kadhaa
Mary alikua ametoka familia yenye uwezo mkubwa tu sana na yenye maadili mema, mama yake akiwa na wadhifa mkubwa tu serikalini na mzee wake akiwa mfanyabiashara, hatukua majirani bali nilikutana nae shuleni kwao nikiwa nimeenda kuhudhuria mahafali ya dada yangu mkubwa, bado hio siku naikumbuka kama jana kweli mapenzi yana nguvu unaweza kumuona mtu ukakaa wiki nzima bila kumtoa akilini kwako, sikufanikiwa hata kumsemesha hio siku nikawa nimeondoka na mawazo kibao tu huku namuwaza mtu ambae nilikua na imani sitokaa nije nimuone tena maishani..
Basi bana maisha yakaendelea mpaka siku nakumbuka nipo naangalia cd ya graduation ya sister kuna kipande walikua wanaimba madarasa ya chini ndipo nikamuona Mary bana, hapo nilikua nishaanza kusahau kuhusu yeye, nikamuita sister nijajikaza tu nikamuuliza unamjua huyu binti? Akamuangalia akajibu " vipi unamjua kwanini unaniuliza?" Nikamuambia hapana simfahamu ila nakumbuka nilimuona nilivyokuja shuleni kwenu kipindi kile, sister akaniambia anha huyo anaitwa Mary(disguise name) ni mdogo wake na fulani.... Akaniuliza vipi kuna nini...? Nikajibu hakuna kitu kwani wao wanakaa mkoa gani, uzuri akaniambia wanakaa mkoa mmoja na sisi tulipo, hapo mapigo ya moyo yanaenda kasi sana
Basi kila nikipata muda nikawa namdadisi sister kuhusiana na yule binti mpaka kuna siku sister akaniambia na wewe nimechoka na maswali yako ngoja ntakuombea namba kwa dada yake, baada ya kama siku mbili sister akaja akanipa ile namba hapo nimechanganyikiwa nashindwa hata nianzie wapi,nikaja mtafuta kwa njia ya sms akanijibu nikatumia nguvu sana kujitambulisha uzuri alikua anamjua sister, akawa anakomaa tu anauliza unataka nini toka kwangu nikamuambia tukiwa marafiki itapendeza akanijibu hakuna shaka....
Nikaja kumuomba nimuone kabla shule hazijafunguliwa tukaja kuonana sehemu moja alikuja na mdogo wake ila hatukukaa sana wao wakaondoka,mawasiliano yakaendelea kwa njia ya barua kipindi hicho kishule shule sasa, kufika form 4 ndo nikaja kumfungukia hisia zangu kwake nakumbuka alikua mkali mpaka nusu urafiki ufe, lakini sikukata tamaa mpaka akaja kunikubalia tukawa wapenzi rasmi
Huyu binti alikua na msimamo sana maana hatukufanya chochote mpaka tukaja kumaliza six nakumbuka kwa mbinde nilimvunja usichana hio siku alilia sana akaniomba nisije kuacha kumuoa, kwa uzuri na tabia zake hakika nilishajihakikishia hapa mke nimepata, tukachaguliwa wote udsm hakika nilifurahi sana nikapanga ghetto huko ndo mapenzi yakawa rasmi sasa, jumatatu naenda nae chuo jioni namuacha anakaa hostel za chuo mpaka ijumaa tukitoka tunaenda wote ghetto mpaka jumatatu tena, hakika Mary alikua mzuri sana ndani ya muda watu wengi sana wakawa wanamjua, nakumbuka kuna siku nipo hall kwao tupo room wakaja wadada flani nilikua nasoma nao kozi moja Mary kuwaambia kua mi ni boyfriend wake wale wadada kila tukikutana nae lecture hall wakawa wananiambia we kaka ulimpata wapi binti mrembo vile
To cut the story short, Mary hakuwahi kuniletea mauza uza yoyote kipindi tupo chuo, na ujinga sikufanya mwingi maana hakuna weekend yoyote ambayo sikua nae, maisha yakaendelea mpaka tukamaliza chuo mi nikapata kazi mwenye government institution moja ofisi zake zipo posta yeye akapata kazi kwenye private firm, after a while tukahamia kwenye nyumba nzima Mungu akajalia tukanunua na usafiri, asubuhi nampeleka job namuacha jioni anatoka anakuja ofisini kwangu ananisubiri mpaka natoka tunaenda wote home maana mi nilikua nachelewa kutoka, sikua na wasiwasi na Mary maana kuanzia chuo alishatongozwa sana na alikua akiniambia tu naomba uniamini siwezi kufanya ujinga
Basi tukaanza kuishi maisha ya Mume na mke rasmi, uzuri kwao wote kasoro wazazi tu ndo walikua hawanijui, na kwetu ivo ivo, tukaanza kabisa na kupanga mipango ya kutambulishana makwetu, dah kumbe bana ukipanga hivi shetani nae anapanga vile, nakumbuka kuna birthday moja nilihudhuria nikakutana na msichana mmoja wa kisomali mixture kidigo alikua anasoma chuo cha uhasibu TIA aisee najuta sana hio siku maana nahisi masaibu yangu yote mpaka leo hii nakula christmas kinyonge ivi yalianzia hapa...
Endelea kunifatilia naandika leo leo hii mpaka iishe hata kama ni saa 7 usiku
Mkuu hongera una CV nzuri yenye uzoefu, si haba.S2 episode 12
baada ya training kuisha nikarudi, nakumbuka kipindi hicho pesa ilikuepo si haba maana tulijibana na posho tulipewa nyingi ukizingatia maisha yetu ya kibongo, basi nakumbuka nikarudi nikaenda wasalimia na kupeleka zawadi nikaondoka zangu, Rachel akaanza nitafuta mme wangu nakuja tulee mtoto wetu na blah blah kibao nikamwambia we nipe muda ntakuambia, ikapita muda mi kimya tu naenda kuona mtoto naondoka zangu, hapo kuna muda simkuti maana mtoto alishaacha na kunyonya
katika hela nilizobakiwa nazo nikaenda site nikamwaga tofali za kutosha nikaanza kuinua boma taratibu, sasa kuna kipindi Rachel akawa anauliza vipi kuhusu zile m3 nilizokuomba za mtaji mi nikwambia kwa sasa sina pesa nina ujenzi, basi sijui ni hasira au kesho yake akaniambia " kuna mtu kanitafutia kazi geita najiandaa kuondoka na mwanangu"
nikawa nawaza huyu mwanamke mbona kila siku ana jambo tu, lengo lake nipate stress tu au nini, nikampigia namuuliza sawa umepata kazi huko ukienda na mtoto na maisha hata hujaanza huko mtaishi vipi na wapi? akajibu " tutaishi tu mbona mi nilikua bila baba"
basi nikaona huyu mtu ni kama anataka ligi, jioni nikaenda kwao nikamkuta yupo na mama mkwe na grace, yule mdogo wao mdogo wa mwisho wa kiume kuna kipindi baba yake mzazi alikuja kumchukua, basi baada ya salamu na nini mama mkwe nikamueleza kila kitu tukawa kama tupo kikao, nikawaambia mwanangu haendi popote kama wamemchoka nimchukue nimpeleke kwetu maana na kunyonya kashaacha, uzuri huyu mama mkwe nachompenda hakua kabisa upande wa binti yake kwenye mambo ya kipuuzi, mama mkwe akawa mkali sana akasema mtoto haondoki mahali akawa anamwambia mtoto wake kama umepata bwana huko we ondoka ila mjukuu wangu haendi popote, baadae huyu mama akaanza kulia anamuuliza rachel umesahau maisha tulioishi kwanini unajitafutia matatizo bure ni nini ambacho hupati
hapo na mi nina hasira nikamwambia yule mama mtoto wangu nafanya mpango wa kuja mchukue na kuanzia leo mi najitoa ule utambulisho hebu ufate siku huyu akileta mwanamme mwingine we mpokee tu na mahari chukua, mi nikaondoka zangu
kweli bana ikapita muda Rachel akaja kuondoka akaenda geita nilikuja kujua baada ya muda kua alipata mwanamme alikua ana maduara mgodini huko ndo alimtoa huku ila uzuri mtoto alimuacha kwao, Mungu nae ni mpaji mi nikabadilishwa kitengo nikaenda kitengo kingine tulikua tunapata pesa sana nyumba yangu inazidi kukimbia tu moyoni nina amani, kuhusu swala la mahusiano sikua na mahusiano rasmi tena ikawa ndo hivo tena tunatoka kazini tupo na co workers tunaenda viwanja tu, wadada wa kujiliwaza hapa na pale walikuwepo wengi tu hasa hasa wanafunzi wa saut pale
mawasiliano na rachel yatakataa rasmi, nikawa namuambia mama mkwe sasa nitafute mfanyakazi nianze tu kukaa na mwanangu, akawa anagoma ananiambia italeta picha mbaya ukizingatia upo mwenyewe hapo, kumbuka hapa huyu mama kashakua kama mama yangu mzazi haishi kunipigia simu, kila siku ananiambia mwanangu Mungu atakusaidia tu mtoto atakua
Grace nae akamaliza form 4 ndo ikawa muda wote yupo na mtoto maana mama mkwe alipata kibarua mahali, kwa hio muda mwingi ikawa ndo mtu ninayewasiliana nae sana kujua mahitaji na hali ya mtoto na nini japokua karibu kila baada ya siku 2 nilikua naenda kuwaona
sasa kuna kipindi mama mkwe akaanzisha utaratibu, siku za weekend anamtuma huyu Grace wanakuja kushinda huku kwangu ili nipate muda wa kukaa na mtoto, Grace nae atafanya usafi huku, kufua nguo , kupanga vitu na kupika n.k, ye akitoka kazini ndo hua anawapitia wanaenda nyumbani, ikafika mahali wakazoea nawaachia tu funguo hata siku npo kazini watakuja kukaa kwangu badae mama mkwe atawapitia waondoke
nakuja na season 3 sasa ambayo ndo itakua mwisho huku ndo kuna balaa zito, stay tuned
Wewe una shida wapi matokoni?We jamaa unashida kichwani
Wewe una shida wapi matokoni?We jamaa unashida kichwani
Malizia mkuu au anzisha uzi😂Aisee yaani mule mule, wangu alipokutana na ndugu zangu kwenye msiba she pretended and played an angel mpaka mama na ndugu zangu wakaning'ang'aniza baada ya mazishi niondoke nae kuja nyumbani kwangu mkoa ninaofanyia kazi. Nikamwambia sawa wazee wamekukubali kumbuka hatuna muda mrefu so utakaa kwangu mwezi mmoja then utarudi nyumbani kwenu tukiwa tunasomana, akakubali. Wazee wakawa wanashinikiza nijipange ili tutume watu wakajitambulishe na kila mara wanaongea nae kwenye simu wanamwakikishia kuwa kijana wetu atakuoa maana tayari ana kazi, maisha mazuri na umri unazidi kwenda.
Aisee huyu binti kichwa kilimpanda na hapo ndipo nilipoanza kuona rangi zake kama nilivyoelezea huko juu. Hakuna kitu nisichokipenda kama kupangiwa ratiba, kukaguliwa simu yangu na nikiiacha tu na ikaita kama niko mbali kidogo bhasi ataiwahi na kupokea na akiona ni mwanamke tu baada ya hallo yeye ataanza na "Mke wa Fyddell hapa naongea, nikusaidie nini?" Aisee.... kuna siku uvumilivu ulinishinda kwa shutuma ya kitu ambacho sijafanya eti akanikaba as yeye yupo juu yangu, nikamuonya kistaarabu tu niachie, alivyoona nimeshuka akaichukua simu na kuipiga chini kwenye carpet huku kanikaba.. ebanae hasira sijui zilitokea wapi, nilimkata kofi moja matata mpaka chini na aliponyanyuka tu akakimbilia sitting room maana hakuwahi kuniona katika ile hali ya hasira vile. Mimi sikumjali zaidi ya kuvaa tshirt then nikaondoka zangu nje nikimuacha sitting room uso wake ukiwa umeumuka.
Nilimwambia nikirudi nikute umeandaa nguo zako kesho asubuhi unarudi kwenu Dar kwa wazazi wako na kabla ya kutoka nikampogia agent wa busy kumwambia anitumie control number nifanye malipo ya nauli online huku simu ikiwa loudspeaker akisikia. Nipo na washkaji tunapiga gambe nashangaa simu ya mama angu hiyo na pale kuna kelele kidogo nikaona si ustaarabu kuongea na bi mkubwa eneo kama lile. Hakuna siku ambayo wazazi wangu walijazwa maneno ya uongo juu yangu na yule girl kama hiyo siku na neno la mwisho nililoambiwa na mama ni "Ole wako umfukuze huyo binti wakati wazazi wako tumeshampenda na kumbariki". Nilichoka aisee........
Mimi siyo nabii, ila Grace naye atagawa
Hii ni story nyingine kabisaMalizia mkuu au anzisha uzi[emoji23]
Grace kiuno kilikuwa na blue bandYaan mnasubiri asimulie alivyokua anamtomba Grace na ile mitako km skonzi?
Mbona unawah mbele,hajasema kumto.mbYaan mnasubiri asimulie alivyokua anamtomba Grace na ile mitako km skonzi?