Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

Mkuu mleta mada, hongera sana. Simulizi yako inasisimua sana, uhalisia wa maisha na makosa ya kibinadamu kabisa, nikiri tu kuwa umeandika uhalisia wa maisha ya wanaume wengi sana, ngono imeharibu na kuvuruga maisha ya wengi sana.

Naamini wengi tunejifunza kupitia simulizi yako.
 
Big up sana mkuu patrickk albeit ulisema itawahi kuisha, shusha vitu tunangoja
...
wanaopondea ndio kila mda wanachungulia waone kama umetupia mpya haha
...
walianza mara ooh chai mara umetunga sahivi wanaomba umalizie, kazi saivi ni nyingi kutingwa kwa sana nakuelewa unapokuwa kimya ila leo jitahidi umalize asee
 
Back
Top Bottom