Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Kawaida wajanja huwa tunaacha story itembee hata two weeks then tunakuja kusoma.
Hapa tena nitakuja tareh 26
Hapa tena nitakuja tareh 26
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekunywa tayariDogo unahitaji pombe Kali
Ikiisha tu naifuta yote kabla ya tareh 26Kawaida wajanja huwa tunaacha story itembee hata two weeks then tunakuja kusoma.
Hapa tena nitakuja tareh 26
Piga happy pills 2 ushuhe episodi nyingine kwa kujiamini mkuuS4 epi 3
Sasa mie hapo nawaza mama nae anasema nini, akili sijui za kuchezewa Wala nini mie hapo Sina kabisa..... Hapo Sasa hapo kazini najua kabisa Kuna msala unaniskilizia ila hata akili ya kuwaza kua nachezea kazi hapo Sina Wala, mama hapo sikumjibu Ile sms nikawa nimempotezea tu, kiufupi nikawa nimekata mawasiliano na watu wa nyumbani karibia wote.... Ikafika jumatatu nikajikongoja tu kwenda kazini, hapo hata mood Sina kabisa yaani ni Ile unaenda basi tu....
Nafika job pale Kila mtu ananishangaa Sasa kwenye department yangu, maswali mengi tu pale naona wananzingua tu, mi huyo mpaka nikaingia ofisi ninayofanya kazi Sasa, hapo nasubiri nione nini kinaendelea, Kuna mshkaji mmoja akanifata akaniambia Kuna bosi wetu mmoja alikua mnoko Sana huyo bosi alikua analalamika Sana nasababisha kazi haziendi, jamaa akawa kanipa ushauri niende bugando pale Kuna jamaa yake aniunganishe nae waniandikie kua nilikua naumwa... Afu kwenye system ya hospital wa back date zile tarehe ionyeshe kweli nilipokelewa hizo wiki 2 zilizopita Ili hata akitokea mnoko kufatilia akute Kila kitu kipo sawa
Nikiwazaga kile kipindi ndo hua naamini uchawi upo aisee, imagine shule tu ukikosa kipindi Kuna muda unakua unawaza Sana mwalimu atakuletea msala, Sasa mimi hapo Nina kazi nzuri tu, sijaenda kazini 2 weeks lakini Sina hata mawazo kabisa nipo fresh tu..... Jamaa nikamuitikia tu pale akanipa namba za huyo dokta nikapokea ushahidi tu hapo, mimi Wala hata siwazi, jamaa ananishauri niondoke tu hapo kabla ya huyo boss mnoko hajaja
Nikampotezea, badae boss mnoko nadhani alikagua register ya department yetu akakuta nime sign in, akatuma mtu akaniita.... Nikaenda ofisini kwake pale..... Akaanza kuongea ujinga wake pale badae akaniuliza "vipi ulikua na shida gani?"
Nikamjibu " I had some personal problems"
Jamaa akanicheki akaanza kufoka Sasa pale " Hilo jibu sio la kiofisi,mimi nakuuliza swali la kiofisi wewe unanijibu kama unaongea sijui na nani Yako"
Hapo na mi nishapata hasira Sasa, kiufupi yani nilikua siwazi Sana naona watakavyoamua ni wao tu mi naona sawa tu, jamaa tukabishana pale nikamuambia tu in short matatizo yangu Wala siwezi kukuambia, akaniambia kijana naona umechoka kazi wewe, nenda ofisini majibu yake utayapata.... Nikaondoka zangu
Sasa pale kazini kulikua na kama makundi matatu ya wafanyakazi rasmi achana na wale wenye vimkataba vifupi, kundi la kwanza walikua juniors Hawa ndo walikua wengi, kundi la pili seniors hapa Kila senior ana ofisi yake na unapewa kundi la juniors wanne mpaka Saba ivi project zote wewe ndo unawasimamia Hawa juniors na kundi la mwisho ndo hao maboss Sasa wanajiita elites, Hawa walikua wawili wawili tu Kila department, wazee wa viyoyozi Hawa hata site tunapofanya kazi kuwaona ni mara Moja Moja, Sasa kulikua na utaratibu wa kazini pale, Hawa wenye mikataba mifupi na Hawa juniors, boss wenu mkubwa(elites) hao alikua na fully authority za kumuachisha kazi, mimi hapo ni senior huyu hawezi nifukuza direct ataandika barua itaenda Kwa mkurugenzi wa kampuni afanye review yeye ndo Sasa anaweza kukufukuza
Huyu boss mnoko akaja akatoa majukumu ya siku pale mimi hakunipa jukumu lolote, nikarudi zangu ofisini, nikakaa nikaona ujinga nikaenda kusign out nikasepa, mimi huyo mpaka home nikabugia kidonge kimoja kwanza( tulikua tunaziita happy pills).... Nikapiga shots kadhaa za pombe Kali pale nikasahau mambo ya kazini kule naona tu Kila kitu kipo sawa, ujinga wa hivi vitu vili JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala up diet yangu Sana nikawa siwezi kula,ndo maana utaskia mateja mtu Kwa siku anaweza kushindia biscuit tu, hapo naweza nikala bites tu na juice siku imetoka!!! Jioni jamaa wa kazi ananimind kumbe alimchek yule doctor akamuambia sikumtafuta hata
Kesho yake nikaenda kazini, nafika tu naitwa na boss mnoko Sasa, kumbe huyu jamaa Jana hio hio alienda termination recommendation letter hapo akawa kaipost Kwa mkurugenzi, kufika akaniambia nikareport Kwa mkurugenzi, Sasa ofisi ilikua na eneo kubwa Sana nikaondoka zangu mpaka ofisi za utawala kule nikaenda Kwa mkurugenzi pale.... Ujinga Sasa huyu elite akishakukataa akaandika barua ufukuzwe ni ngumu Sana kuchomoka na hata ukichomoka huwezi bakia department hio maana tafsiri inakua ni kua mmeshindwa kufanya kazi pamoja, watakuhamisha tu.....
Hapo najua hii imetoka hii, kabla sijafika utawala nikapitia kwenye gari nikabugia happy pill Moja nikaenda Sasa, nikafika Nakuta ana mtu nikasubiri mpaka atoke, huyu mkurugenzi alikua ni mama mmoja wa Australia mtu poa Sana, nikafika pale akatoa Ile barua akavaa mawani akaisoma tu akaomba nijielezee
Sasa hapo ka dawa kangu kameenza ku kick in ninajiamini tu Wala Sina uoga, nikamuangalia machoni(hii tulifundishwa hata tukiwa training kule kwao, kwanza ni kitendo Cha heshima na mtu anakua anaamini unachomwambia"
Nikampa jibu lile lile " I had some personal problems"
Akakaa kimya kama dakika 2 hivi, akavua miwani, basi akaniambia sawa nimekuelewa, ushasema ni swala personal , unategemea nakusaidia vipi kama huwezi kuniambia, badae ananiambia kua huru, usiongee na mimi kama bosi wako ongea na mimi kama mzazi wako au rafiki Yako, kama utaweza niambie una tatizo gani( hapo tunaongea English ila acha nielezee tu Kwa kiswahili nisichanganye Sana lugha)...
Basi bana nikampa brief tu ya ninayopitia pale, nikamuambia Nina tatizo na mke wangu na familia Yao Kwa ujumla, kakimbia nyumbani na watoto wangu, na mambo mengine mengine nikaongeza na chumvi kidogo at least mtu aone nilikua na shida kweli, nikamwambia kichwa changu hakikua straight naweza lazimisha nikaja haribu project ya kazini ya mamilion ya pesa, basi baada ya kujielezea pale akaanza Sasa na yeye kuongea kua tumewaajiri inatakiwa muwe realible na kazi, Kila mtu akisema haji kazini Kwa sababu zake itakua sio ofisi Sasa...
Akaniangalia pale akamuita secretary pale akamuomba profile langu la kazini pale, ikapita muda akaletewa faili pale akalikagua Kwa muda, akaniangalia, " Patrick how much time do you still need?"
Nikamuambia nahisi Niko sawa, akakataa akaniambia Nakua muda nenda ka sort mambo Yako and come back clean, nikapewa tena wiki 2 Kwa masharti ya kua ntakua nime sacrifice likizo yangu inayokuja, secretary akaambiwa anipe warning letter pale, jina langu likawekewa red flag pale( hapa ni kama probation yaani kosa Moja unasepa).....
Yule mkurugenzi akaniambia ukirudi weka mambo Yako sawa na bosi wako maana sitakuhamisha department utabaki hapo hapo, nikamshukuru pale nikaaga, kurudi kama Kawa sherehe lazima nikapiga happy pill nyingine pale nikarudi ofisini pale kuna vitu nikawa nakabidhi Kwa senior mwenzangu, boss mnoko kapita akajua ndo nishafukuzwa bila hata aibu ananiuliza kijana vipi, nikamcheki pale nikamwambia si ulituma official letter subiri watakupa majibu mimi sijui lolote
Nikasepa zangu, Sasa ujinga nimepewa wiki 2 niweke mambo yangu sawa mimi hapo naweza hizi wiki 2 bila stress mbona ni sherehe tosha, hio siku ni heavy drinking, pills, hayo ma tambuu, pariki sijui..... Nakuaga na tatizo la kifua Toka mdogo Kwa hio situmii smokes hio siku nilijaribu vi cigar flani nusu vinitoe roho nikaacha
Kesho yake same routine, G hapo anatuma sms anaomba kurudi Sasa na watoto, mi hapo nishawapotezea sijui hata mtoto anasoma shule gani huko, nikamjibu simple tu " we kwani nilikufukuza, si uliondoka bila kuniaga, mimi siwezi kuja kukufata huko na siku ukija tafuta kabisa pa kufikia"
Hapo tu nishakua mkatili, nimekua mbinafsi simwazi mtu zaidi yangu mimi mwenyewe, hio wiki sijui ni mikosi au nikapata balaa ilibaki kidogo nikimbie mwanza niache kazi na nyumba huko
Piga happy pills 2 ushuhe episodi nyingine kwa kujiamini mkuu
Ndio mkuu, ataeleza Kila kitu kwa undani na episode itakuwa ndefu😂Akipiga happy pills huyu mwamba uzi utasomeka kweli🤣
Kesho lzm nikupe pombe utulieNimekunywa tayari
Twende mbeleS4 epi 3
Sasa mie hapo nawaza mama nae anasema nini, akili sijui za kuchezewa Wala nini mie hapo Sina kabisa..... Hapo Sasa hapo kazini najua kabisa Kuna msala unaniskilizia ila hata akili ya kuwaza kua nachezea kazi hapo Sina Wala, mama hapo sikumjibu Ile sms nikawa nimempotezea tu, kiufupi nikawa nimekata mawasiliano na watu wa nyumbani karibia wote.... Ikafika jumatatu nikajikongoja tu kwenda kazini, hapo hata mood Sina kabisa yaani ni Ile unaenda basi tu....
Nafika job pale Kila mtu ananishangaa Sasa kwenye department yangu, maswali mengi tu pale naona wananzingua tu, mi huyo mpaka nikaingia ofisi ninayofanya kazi Sasa, hapo nasubiri nione nini kinaendelea, Kuna mshkaji mmoja akanifata akaniambia Kuna bosi wetu mmoja alikua mnoko Sana huyo bosi alikua analalamika Sana nasababisha kazi haziendi, jamaa akawa kanipa ushauri niende bugando pale Kuna jamaa yake aniunganishe nae waniandikie kua nilikua naumwa... Afu kwenye system ya hospital wa back date zile tarehe ionyeshe kweli nilipokelewa hizo wiki 2 zilizopita Ili hata akitokea mnoko kufatilia akute Kila kitu kipo sawa
Nikiwazaga kile kipindi ndo hua naamini uchawi upo aisee, imagine shule tu ukikosa kipindi Kuna muda unakua unawaza Sana mwalimu atakuletea msala, Sasa mimi hapo Nina kazi nzuri tu, sijaenda kazini 2 weeks lakini Sina hata mawazo kabisa nipo fresh tu..... Jamaa nikamuitikia tu pale akanipa namba za huyo dokta nikapokea ushahidi tu hapo, mimi Wala hata siwazi, jamaa ananishauri niondoke tu hapo kabla ya huyo boss mnoko hajaja
Nikampotezea, badae boss mnoko nadhani alikagua register ya department yetu akakuta nime sign in, akatuma mtu akaniita.... Nikaenda ofisini kwake pale..... Akaanza kuongea ujinga wake pale badae akaniuliza "vipi ulikua na shida gani?"
Nikamjibu " I had some personal problems"
Jamaa akanicheki akaanza kufoka Sasa pale " Hilo jibu sio la kiofisi,mimi nakuuliza swali la kiofisi wewe unanijibu kama unaongea sijui na nani Yako"
Hapo na mi nishapata hasira Sasa, kiufupi yani nilikua siwazi Sana naona watakavyoamua ni wao tu mi naona sawa tu, jamaa tukabishana pale nikamuambia tu in short matatizo yangu Wala siwezi kukuambia, akaniambia kijana naona umechoka kazi wewe, nenda ofisini majibu yake utayapata.... Nikaondoka zangu
Sasa pale kazini kulikua na kama makundi matatu ya wafanyakazi rasmi achana na wale wenye vimkataba vifupi, kundi la kwanza walikua juniors Hawa ndo walikua wengi, kundi la pili seniors hapa Kila senior ana ofisi yake na unapewa kundi la juniors wanne mpaka Saba ivi project zote wewe ndo unawasimamia Hawa juniors na kundi la mwisho ndo hao maboss Sasa wanajiita elites, Hawa walikua wawili wawili tu Kila department, wazee wa viyoyozi Hawa hata site tunapofanya kazi kuwaona ni mara Moja Moja, Sasa kulikua na utaratibu wa kazini pale, Hawa wenye mikataba mifupi na Hawa juniors, boss wenu mkubwa(elites) hao alikua na fully authority za kumuachisha kazi, mimi hapo ni senior huyu hawezi nifukuza direct ataandika barua itaenda Kwa mkurugenzi wa kampuni afanye review yeye ndo Sasa anaweza kukufukuza
Huyu boss mnoko akaja akatoa majukumu ya siku pale mimi hakunipa jukumu lolote, nikarudi zangu ofisini, nikakaa nikaona ujinga nikaenda kusign out nikasepa, mimi huyo mpaka home nikabugia kidonge kimoja kwanza( tulikua tunaziita happy pills).... Nikapiga shots kadhaa za pombe Kali pale nikasahau mambo ya kazini kule naona tu Kila kitu kipo sawa, ujinga wa hivi vitu vili fu*k up diet yangu Sana nikawa siwezi kula,ndo maana utaskia mateja mtu Kwa siku anaweza kushindia biscuit tu, hapo naweza nikala bites tu na juice siku imetoka!!! Jioni jamaa wa kazi ananimind kumbe alimchek yule doctor akamuambia sikumtafuta hata
Kesho yake nikaenda kazini, nafika tu naitwa na boss mnoko Sasa, kumbe huyu jamaa Jana hio hio aliandika termination recommendation letter hapo akawa kaipost Kwa mkurugenzi, kufika akaniambia nikareport Kwa mkurugenzi, Sasa ofisi ilikua na eneo kubwa Sana nikaondoka zangu mpaka ofisi za utawala kule nikaenda Kwa mkurugenzi pale.... Ujinga Sasa huyu elite akishakukataa akaandika barua ufukuzwe ni ngumu Sana kuchomoka na hata ukichomoka huwezi bakia department hio maana tafsiri inakua ni kua mmeshindwa kufanya kazi pamoja, watakuhamisha tu.....
Hapo najua hii imetoka hii, kabla sijafika utawala nikapitia kwenye gari nikabugia happy pill Moja nikaenda Sasa, nikafika Nakuta ana mtu nikasubiri mpaka atoke, huyu mkurugenzi alikua ni mama mmoja wa Australia mtu poa Sana, nikafika pale akatoa Ile barua akavaa mawani akaisoma tu akaomba nijielezee
Sasa hapo ka dawa kangu kameenza ku kick in ninajiamini tu Wala Sina uoga, nikamuangalia machoni(hii tulifundishwa hata tukiwa training kule kwao, kwanza ni kitendo Cha heshima na mtu anakua anaamini unachomwambia"
Nikampa jibu lile lile " I had some personal problems"
Akakaa kimya kama dakika 2 hivi, akavua miwani, basi akaniambia sawa nimekuelewa, ushasema ni swala personal , unategemea nakusaidia vipi kama huwezi kuniambia, badae ananiambia kua huru, usiongee na mimi kama bosi wako ongea na mimi kama mzazi wako au rafiki Yako, kama utaweza niambie una tatizo gani( hapo tunaongea English ila acha nielezee tu Kwa kiswahili nisichanganye Sana lugha)...
Basi bana nikampa brief tu ya ninayopitia pale, nikamuambia Nina tatizo na mke wangu na familia Yao Kwa ujumla, kakimbia nyumbani na watoto wangu, na mambo mengine mengine nikaongeza na chumvi kidogo at least mtu aone nilikua na shida kweli, nikamwambia kichwa changu hakikua straight naweza lazimisha nikaja haribu project ya kazini ya mamilion ya pesa, basi baada ya kujielezea pale akaanza Sasa na yeye kuongea kua tumewaajiri inatakiwa muwe realible na kazi, Kila mtu akisema haji kazini Kwa sababu zake itakua sio ofisi Sasa...
Akaniangalia pale akamuita secretary pale akamuomba profile langu la kazini pale, ikapita muda akaletewa faili pale akalikagua Kwa muda, akaniangalia, " Patrick how much time do you still need?"
Nikamuambia nahisi Niko sawa, akakataa akaniambia Nakupa muda nenda ka sort mambo Yako and come back clean, nikapewa tena wiki 2 Kwa masharti ya kua ntakua nime sacrifice likizo yangu inayokuja, secretary akaambiwa anipe warning letter pale, jina langu likawekewa red flag pale( hapa ni kama probation yaani kosa Moja unasepa).....
Yule mkurugenzi akaniambia ukirudi weka mambo Yako sawa na bosi wako maana sitakuhamisha department utabaki hapo hapo, nikamshukuru pale nikaaga, kurudi kama Kawa sherehe lazima nikapiga happy pill nyingine pale nikarudi ofisini pale kuna vitu nikawa nakabidhi Kwa senior mwenzangu, boss mnoko kapita akajua ndo nishafukuzwa bila hata aibu ananiuliza kijana vipi, nikamcheki pale nikamwambia si ulituma official letter subiri watakupa majibu mimi sijui lolote
Nikasepa zangu, Sasa ujinga nimepewa wiki 2 niweke mambo yangu sawa mimi hapo nawaza hizi wiki 2 bila stress mbona ni sherehe tosha, hio siku ni heavy drinking, pills, hayo ma tambuu, pariki sijui..... Nakuaga na tatizo la kifua Toka mdogo Kwa hio situmii smokes hio siku nilijaribu vi cigar flani nusu vinitoe roho nikaacha
Kesho yake same routine, G hapo anatuma sms anaomba kurudi Sasa na watoto, mi hapo nishawapotezea sijui hata mtoto anasoma shule gani huko, nikamjibu simple tu " we kwani nilikufukuza, si uliondoka bila kuniaga, mimi siwezi kuja kukufata huko na siku ukija tafuta kabisa pa kufikia"
Hapo tu nishakua mkatili, nimekua mbinafsi simwazi mtu zaidi yangu mimi mwenyewe, hio wiki sijui ni mikosi au nikapata balaa ilibaki kidogo nikimbie mwanza niache kazi na nyumba huko
Malizia mkuuS4 epi 4
Imepita siku ba mdogo akanipigia na namba mpya bana nikapokea, akaanza kunilaumu tu pale Simu zake sishiki basi tu namwambia mambo mengi, home alishaambiwa ishu ya G kua pale, nikamuelezea pale na nini, sasa ba mdogo tunachopatana nae hua harembi, yaani hata mkifanya wote ujinga Kuna muda yeye atakusupport tu, peferct partner in crime!!!! Nilivyomuelezea akaniambia tu " huyo(G) muache kwanza ajifunze mwanamke hua hakimbilii kuondoka Kwa Mme wake hata kama Kuna nini"
Basi nae akaniambia Kuna mahali yupo ilikua kipindi Cha kilimo Kuna mahali analima, akimaliza atakuja maana mama anamsumbua aje mwanza kuniona ajue Kuna shida gani nikamwambia sawa tu....
Nikarudi home pale nikafungua geti nikaingia, hapo nakaa mwenyewe, kinachonisaidia Kuna nyumba tunaangaliana ilikua na frames za hardware pale Kuna mlinzi tulitokea kuelewana akawa afadhali Sasa ananiangalizia angalizia pale usiku, mchana nadhani wahuni hawakusoma ramani nipo mwenyewe na muda mwingi nilikua ndani la sivyo ningekua nishaibiwa....
Nimeingia pale nimetoka Kwa mguu hapo Kuna duka jirani pale G alipoacha funguo nikawa naenda sijui kuchukua nini, wakati naenda Kuna wadada wawili wamekaa nje ya nyumba flani ivi Ina kama apartments ila Haina geti, mmoja Sasa kavaa kimini hapo na alivyo mweupe mapaja yote Yako wazi, shape kajaliwa kiukweli na viziwa Sasa, Sasa hapo Sina mazoea na watu majirani mi nikapita tu sikuwasalimia, kichwani nawaza Hawa Wanawake Wana makusudi,nguo gani hizo, Sasa mimi na madude yangu kipindi hiko Wala hata mambo ya Wanawake nilikua Sina kabisa
Muda narudi, yule dada mwingine Sasa akaniita, nikafika nikawapa hi pale, yule mwenye kimini yeye kimya tu haongei, yule mdada mwingine anaonekana mapepe yeye ni kuongea tu, akaniuliza kabla ya kuja huku ulikua unakaa wapi mbona kama nishawahi kukuona, namuuliza mwanza au? Akaniambia mkoa mwingine, nikamwambia dar, akaniambia nae anatoka dar( hata lafudhi ya kipwani) anahisi ashawahi kuniona, nikamwambia dar kubwa Sana sidhani kama ni kweli, akaanza kuniuliza dar ulikua unakaa wapi nikaona tu huyu ananizngua nikaaga mi nikaondoka zangu..... Nafika home sikukaa Sana nikatoka nikaenda mjini, muda narudi Sasa nakutana na yule dada mwenye kimini ni kama alikua anaenda mitoko yake, sijui ikawaje nikamsimamisha pale namuuliza jirani unaenda wapi akaniambia anaenda town Kuna marafiki zake wamemuita, nikamwambia naona rafiki Yako alikua ananizngua, akaanza kucheka pale ananiambia yule ndo akili zake zilivyo
Nikatoa Simu pale nikampa anipe namba akaandika pale akaniambia na jina mi nikaondoka zangu( huyu dada tumuite jirani tu).... Nimefiks home Sasa nikaanza kutupia vitu vyangu, Sasa kipindi hiko mi ni WA ndani,sitaki bar Wala kukaa na washkaji maana Kuna vitu natumia nahisi watakua wananichora tu na pia naona aibu mtu akijua hata.....
Jioni Sasa yule dada akaja kunchek maana nilishamtumia sms, anauliza upo wapi? Namuambia nipo home.... Akaanza jokes pale unawahi ndoa na nini badae namuambia nipo tu mwenyewe, nikamuambia njoo kama usharudi.... Akakaa kidogo pale akaniambia nakuja ila nakuja na mwenzangu, badae kweli wakaja pale.... Basi katika story ndo wananiambia wananionaga ila naringa sijui hapo mi nashangaa maana sijawahi kuwaona, nawauliza mnatumia nini, mmoja akasema bia yule mwingine(jirani) ye akasema pombe Kali, Sasa bia hapo ndani Sina na kwenye pombe Kali tena hapo ndo uwanja wa nyumbani, nikamcheki boda mmoja akaja mletea bia huyu yule jirani ye anapiga makali tu, hapo kichwani nawaza hapa Kila mtu ataenda kula kwake maana kipindi hiko mi hata kupika siwezi na hata hio hamu ya kula naitoa wapi, tukajikuta story nyingi tu wakaanza kumuulizia G pale na madogo nawaambia wameenda salimia mahali....
Mambo ya pombe tena tukajikuta kama tumejuana muda tu, mi hata naona aibu sasa kutumia mambo yangu,ntakunywa pombe pale ntaenda bugia pariki chumbani nikirudi navunga tu kama hamna kitu, wakakaa pale badae wakasema, hapo mimi hata mambo ya mapenzi siwazi kabisa naona ni kama company tu
Fast forward....
Yule dada Sasa jirani, aisee kumbe ni jinI mwenzangu nilikua sijui, alikua mmbulu(iraqw)... Aisee Hawa watoto wanakunywa pombe sijawahi kuona, namuangalia Sasa alivyo mzuri na shape lake ila pombe anabugia acha kabisa, nikapata company Sasa mlevi mwenzangu, atakuja home asubuhi, tutakunywa wee, badae nikaacha kujivunga Sasa, Kila kitu naweka mezani, huyu jirani nae out of curiosity nae anataka kujaribu, akaanza jaribu tafuna tambuu pale na nini, ila pills nilificha nikasema hii hapana aisee, tukawa kama washkaji Sasa, atakuja tutalewa Kuna muda tutalala tunalewa sebleni tu pale, asubuhi ataenda kuoga public bathroom pale tunaanza upya tena, siku nikaja kukata Ile pill katikati nikampa ajaribu, aisee acha tu badae mtu atakuangalia anacheka tu na nini, badae nae Sasa akawa anasumbua
Haachi kutaka tena, Sasa sijui ndo maana mateja huwezi kuwakuta wanahangaika na mambo ya wanawake, huwezi amini kipindi chote hiko sikuwahi hata kupata hisia sijui ya kimapenzi, Nakua kama nipo na mshkaji tu, na yeye Sasa ni pombe tu pale na nini hata swaga za mapenzi Hana....
Hapo ujinga mi siwazi hata majirani sijui wanatuonaje Wala nini, kumbe bana Dem kapangiwa apartment na jamaa yake sijui wa wapi, jamaa wambea washamtonya kua Kuna jamaa anakula Mali Yako kaihamishia kwake kabisa, on one night tupo ndani tunalewa tu naskia geti linagongwa Kwa nguvu balaa, Sasa nikapanic nani tena huyo, linagongwa tu, mara yule mlinzi jirani akanipigia ananiambia aisee umevamiwa nini mbona Kuna watu wengi getini kwako mi mwenyewe imebidi niondoke
Nikawaza sasa mpaka mlinzi kakimbia Kuna nini tena, badae nikapata wazo nikamcheki yule polisi kipindi kile alikua na faili langu nilivyokua selo, namuelezea pale akaniambia ngoja nakuunga na watu wa doria, akatuma namba napiga Sasa kasheshe kuwaelekeza napokaa, hivo hivo nikawaelekeza badae wakaja wale watu Bado wapo getini gari la polisi wanaliona lakini hawakutoka
Nilipojiridhisha na polisi wapo nikafungua geti pale, ikaanza mizozo ila hapo wametulia kiasi, na yule mlinzi karudi Sasa, jamaa mmoja akaanza kuongea Kwa hisia kweli, kwanini natembea na mke wake na nini, hapo jirani yupo ndani, najaribu kujielezea ila wapi nani atakuamini Sasa, jamaa akamuita yule jirani akatoka, jamaa akasema hataki kesi pale,ila akaniambia "dogo mimi na wewe Bado tuna kesi, mke anauma mdogo wangu, ntakutafuta tuyamalize kiume, ama zako ama zangu"
Wale polisi kama Kawa nikawapooza wakaondoka zao pale ila jamaa walishampiga biti nikipata shida watadeal nae, hapo nayeye kawajibu yeye hajali tena
Narudi ndani naanza kuwaza Sasa mimi Nina balaa gani, nishazusha tatizo tena hapa na hata huyu jirani sijawahi kutembea nae, Nakua wanted Tena mtaani hapa, dah maisha gani!!!! Kesho nikamcheki dogo mmoja, nikafunga nyumba kubwa nikamuachia funguo ya room Moja ya nje pale akae pale, mimi huyo nikaenda Kwa mama kwanza maana Yale maneno yake nikaanza kuhisi ni kweli