Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,607
Naomba kuuliza.Hahaaaa dah...! Mkuu pole sana maana nami niliwahi kwenda kina kirefu cha ziwani aisee bahati mbaya nilikanyaga shimo la samaki nilikunywa vikombe vya kutosha walinitoa nimechoka,
Pia kisa kingine nipo na kaangu kanivusha mpaka kwenye jiwe lililokuwa kwenye kina kirefu cha maji wakati tumekaa pale ananiambia utaanguka kwenye maji mi namwambia najua kuogolea, aisee nikawa nachezea ukuku ulioota pale kwenye jiwe bahati mbaya ukanitelezesha nikaanguka kwenye maji aisee nilikunywa vikombe hapo nikaokolewa nilitoka mpole aisee...
Shimo la samaki linakuwa namna gani?