Ushawahi kujifanya mjuaji ukaja kuumbuka?

Hahaaaa dah...! Mkuu pole sana maana nami niliwahi kwenda kina kirefu cha ziwani aisee bahati mbaya nilikanyaga shimo la samaki nilikunywa vikombe vya kutosha walinitoa nimechoka,

Pia kisa kingine nipo na kaangu kanivusha mpaka kwenye jiwe lililokuwa kwenye kina kirefu cha maji wakati tumekaa pale ananiambia utaanguka kwenye maji mi namwambia najua kuogolea, aisee nikawa nachezea ukuku ulioota pale kwenye jiwe bahati mbaya ukanitelezesha nikaanguka kwenye maji aisee nilikunywa vikombe hapo nikaokolewa nilitoka mpole aisee...
Naomba kuuliza.
Shimo la samaki linakuwa namna gani?
 
Nilipokuwa la saba A,mwalimu wa maarifa ya jamii aliomba mtu ajitolee kuandika Notice kidogo kwenye ubao.Kwa kimbelembele changu nikainua kidole juu,nafikiri ili nionekane nimekolea kinidhamu.
Aisee niliandika ubao wote ukajaa,Mwalimu alinisifia sana Mwandiko mzuri.Kuna maeneo yalikuwa yana michoro napanda kwenye kiti.Mkono ulichoka,miguu ikaanza kutetemeka,aisee nikaanza kuhema juu jui na kipindi hicho nilikuwa mfupi,nainua shingo juu,napeleka mkono huko nifikie mwisho wa ubao.Mwalimu alifurahi sana akasema nifute mwanzo nijaze tena atanipa daftari nikaandikie home.
Nilikoma kujikomba,siku ile ubao ulifutwa mara mbili.Nilirudi nyumbani hooi,sikuweza kuandika mkono unatetemeka ubao ulikuwa mkubwa sana.Kuanzia siku hiyo mpaka namaliza mwalimu alinifanya ndondocha lake la kuandika ubaoni.
 
Kanisaniii...
Watumishi ilitokea wapungua wawili, basi Father Akaomba yeyote anayejua Kutumikia apite mbele akavae joho, mzee mzima nikapanda madhabahuni nikaingia room nikavaa Joho..
Kwa kufupisha nilichanganya madesa kuanzia kwenye uvaaji, kushika vifaa na kila kitu...

Mambo yalivyozidi kua magumu, nikaone isiwe tabuu..
Nilichomokea mlango ule wa nyuma ya Altale, nikavua joho nikasepa misa ikiwa kati...

Niliacha vicheko na taharuki kwa waumini na Wote pale mbele, na ilikua mtu zaidi ya 200..

Pili nilitoka mjini nikaenda kijijini kusalimia, nikajitia najua ngumi tena za movie,
Nikalichokoza jamaa flani hivii...

Kilichonipata ilibidi niingie kwenye karavati, yeye alishindwa sababu ya mwili mkubwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakati fulani huko sekondari wakati tunafanya mitihani ya muhula kila tukitoka kwenye paper tunaulizana swali fulani umejibu vipi mimi ndio nakuwa kimbelembele kusema swali lile jibu lake ni hivi na vile,baada ya kumaliza mitihani na yalipotoka majibu mimi nikawa nimedisco wale wenzangu niliokuwa najadiliana nao kila tunapotoka kwenye peper wakatusua.Hapo ndipo nikajiona tumbili
 
Tulikua tunaenda Dodoma na coaster tulipofika maeneo ya mbezi kuna dogo akamwambia kinda tukifika morogoro naomba uniambie kinda kama poa tukafika Kibaha dogo akauliza Moro bado ? Konda akasema bado ,tukafika chalinze dogo akauliza tena ,konda akawa mbogo mida maneno ya shombo dogo kausha tukifika moro nitakwambia
Basi safari ikasonga baada ya masaa mwili dogo akauliza tena moro bado ? hapo tunaitafuta Gairo konda akasema dah! Moro tushapita dogo , kidume nikageuka mbogo na magwanda yangu ya JKT nikamwambia dereva geuza gari turudi Moro abiria wakamaindi kinoma sema wakiangalia konda kazingua wakiniangalia pia mimi ni mwanausalama halafu mwili jumba niko na wenzangu wawili nimewazid ranks kwashingo upande stika kageuza gari mpaka moro.
Nikamwambia dogo moro ndio hapa ,dogo akasema asante bro akafungua begi lake akatoa chupa ya chai na mkate akaanza kugonga konda akamwambia shuka bas dogo akasema anaenda dom ila mama yake alimwambia akifika moro ndio anywe chai lunch atakula dom, unaambia gari zima macho yenye Jazba, hasira,husda,gubu, nongwa,dharau na uchungu yakaelekezwa kwangu hapo ndio ikabidi nizuge naenda kuchimba dawa nikakimbia nikawatext makamanda mizigo yangu nitaikuta kambini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kanisaniii...
Watumishi ilitokea wamepungua wawili, basi Father Akaomba yeyote anayejua Kutumikia apite mbele akavae joho, mzee mzima nikapanda madhabahuni nikaingia room nikavaa Joho..
Kwa kufupisha nilichanganya madesa kuanzia kwenye uvaaji, kushika vifaa na kila kitu...

Mambo yalivyozidi kua magumu, nikaone isiwe tabuu..
Nilichomokea mlango ule wa nyuma ya Altale, nikavua joho nikasepa misa ikiwa kati...

Niliacha vicheko na taharuki kwa waumini na Wote pale mbele, na ilikua mtu zaidi ya 200..

Pili nilitoka mjini nikaenda kijijini kusalimia, nikajitia najua ngumi tena za movie,
Nikalichokoza jamaa flani hivii...

Kilichonipata ilibidi niingie kwenye karavati, yeye alishindwa sababu ya mwili mkubwa.

Hii sasa kali 😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ningeshaa kama nisingekuta comment yako kwenye huu uzi..
Wewe una matukio mno.. Ukianza na kile kisa cha Baiskeli[emoji3][emoji3]
 
Unaweza endesha gari,Nikajibu ndio mbona naendeshaga sana tu home kwakua kila mtu anajua kwetu magari yapo na tunaonekana tuktoka tukiingia wakaona "labda kweli anaweza",wasichojua n kwamba home ukikutwa tu ndani ya gari umekaa

ni utalambwa stick mpk ukiona gari uwe unalia tu mwenyewe,Basi bana baada ya mimi kujibu "naweza" nikaambiwa chukua funguo Nenda hadi sehemu flani kisha rudi,tuone utachukua dk Ngapi,nikaingia ndani ya gari nakumbuka ilikua ni SUZUKI ESCUDO,nikawasha gari vizuri kbsa(hiyo hainishindi) nikaanza ondoka,Bwana weee sikieni tu

Nilienda Gongesha gari kwenye limti flani huko mbelee,ile kesi ikamfkia mshua bwana wee nilidundwa home bado kidogo nife (sijui ka namm ntampgaga mwanangu vile) sema mshua wangu nae anajua kuonea dagaa sana.
 
Tulikua tunaenda Dodoma na coaster tulipofika maeneo ya mbezi kuna dogo akamwambia konda tukifika morogoro naomba uniambie konda kama poa tukafika Kibaha dogo akauliza Moro bado ? Konda akasema bado ,tukafika chalinze dogo akauliza tena ,konda akawa mbogo mixa maneno ya shombo dogo kausha tukifika moro nitakwambia
Basi safari ikasonga baada ya masaa mwili dogo akauliza tena moro bado ? hapo tunaitafuta Gairo konda akasema dah! Moro tushapita dogo , kidume nikageuka mbogo na magwanda yangu ya JKT nikamwambia dereva geuza gari turudi Moro abiria wakamaindi kinoma sema wakiangalia konda kazingua wakiniangalia pia mimi ni mwanausalama halafu mwili jumba niko na wenzangu wawili nimewazid ranks kwashingo upande suka kageuza gari mpaka moro.
Nikamwambia dogo moro ndio hapa ,dogo akasema asante bro akafungua begi lake akatoa chupa ya chai na mkate akaanza kugonga konda akamwambia shuka bas dogo akasema anaenda dom ila mama yake alimwambia akifika moro ndio anywe chai lunch atakula dom, unaambia gari zima macho yenye Jazba, hasira,husda,gubu, nongwa,dharau na uchungu yakaelekezwa kwangu hapo ndio ikabidi nizuge naenda kuchimba dawa nikakimbia nikawatext makamanda mizigo yangu nitaikuta kambini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii nimeipenda kulikp
 
Hii chai mkuuu
 
[emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nakumbuka ilikuwa kanisani mchungaji katika kutoa neno akaita mtu mbele aje afanye reference katika Bible kwa kuwa mi nlikuwa mbele kidogo chap nikaruka hadi mbele hiyo sehemu ya kusoma nlishaipata tangu mda basi nikasoma baada ya kumaliza kile kipengele ghafla mchungaji akaniambia funua Yoshua sura ya 7 mstari wa 3. Hapo ndo shida nilihangaika pale mbele mara nifunue agano jipya mara agano la kale nikavurugwa kabisa alafu kulikuwa na vile vicheko vya chini kwa chini. Nikamwangalia tu mchungaji nikampa microphone nikarudi kukaa. Haikuisha hata dk 15 nilisepa zangu niliumbuka sana aisee
 
Wakati fulani huko sekondari wakati tunafanya mitihani ya muhula kila tukitoka kwenye paper tunaulizana swali fulani umejibu vipi mimi ndio nakuwa kimbelembele kusema swali lile jibu lake ni hivi na vile,baada ya kumaliza mitihani na yalipotoka majibu mimi nikawa nimedisco wale wenzangu niliokuwa najadiliana nao kila tunapotoka kwenye peper wakatusua.Hapo ndipo nikajiona tumbili
Secondary umedisco? ????
 
Back
Top Bottom