Ushawahi kujiuliza kuhusu hili swala

Mkuu, hii ni physics na jibu ni...
Moshi wa moto unakufuata kwa sababu hewa moto huinuka juu ya moto, na hivyo kuvuta hewa baridi. Sasa kumbuka mwili wa binadamu huzuwia hewa ya isipate moto. Hivyo hali hii hupunguza shinikizo la hewa karibu na binadamu, na moshi huelea kuelekea kwenye shinikizo la chini pamoja na binadamu.
 
Hili nilikua najiuliza tu sana, unakuta mpo wengi lakini moshi unakufuata wewe tu, hata ukibadilishana siti na mwenzako moshi unabadilisha mkondo na kukufuata huko huko....
 
Waafrika bhana ndio maana hata hiyo mizimu inatuponda mawe tu maana tunaamini vitu vya ajabu ajabu
 
Hapa
Physics imelala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…