Ushawahi kujiuliza kuhusu hili swala

Ushawahi kujiuliza kuhusu hili swala

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,298
Reaction score
7,612
ukiwa unaota moto wa kuni huku ukiwa umekaa pembeni kwanini moshi huwa unakufata ulipokaa hata kama ukihama unakufata tena hukohuko [emoji849]

FB_IMG_1653341992064.jpg
 
Mkuu, hii ni physics na jibu ni...
Moshi wa moto unakufuata kwa sababu hewa moto huinuka juu ya moto, na hivyo kuvuta hewa baridi. Sasa kumbuka mwili wa binadamu huzuwia hewa ya isipate moto. Hivyo hali hii hupunguza shinikizo la hewa karibu na binadamu, na moshi huelea kuelekea kwenye shinikizo la chini pamoja na binadamu.
 
Hili nilikua najiuliza tu sana, unakuta mpo wengi lakini moshi unakufuata wewe tu, hata ukibadilishana siti na mwenzako moshi unabadilisha mkondo na kukufuata huko huko....
 
Waafrika bhana ndio maana hata hiyo mizimu inatuponda mawe tu maana tunaamini vitu vya ajabu ajabu
 
Hapa
Mkuu, hii ni physics na jibu ni...
Moshi wa moto unakufuata kwa sababu hewa moto huinuka juu ya moto, na hivyo kuvuta hewa baridi. Sasa kumbuka mwili wa binadamu huzuwia hewa ya isipate moto. Hivyo hali hii hupunguza shinikizo la hewa karibu na binadamu, na moshi huelea kuelekea kwenye shinikizo la chini pamoja na binadamu.
Physics imelala
 
Back
Top Bottom