Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
ukiwa unaota moto wa kuni huku ukiwa umekaa pembeni kwanini moshi huwa unakufata ulipokaa hata kama ukihama unakufata tena hukohuko [emoji849]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini upepo usiende upande mwingine unakufuata wewe ulipokaa hata ukihama?Mimi nimeshawahi... Ni Upepo tu. Hamna kingine.
Upepo unapenda watu ujue!Kwanini upepo usiende upande mwingine unakufuata wewe ulipokaa hata ukihama?
Ndiyo, nini jibu lake?ukiwa unaota moto wa kuni huku ukiwa umekaa pembeni kwanini moshi huwa unakufata ulipokaa hata kama ukihama unakufata tena hukohuko [emoji849]View attachment 2236286
Huyu mama anakazi sana awamu hii na hii katiba mpk atasalenda 🤣🤣🤣🤣🤣Bila katiba mpya, Moshi utakufata hadi chumbani.
Upo nje ya mada!Bila katiba mpya, Moshi utakufata hadi chumbani.
Hata me nasubiria jibu kutoka kwa wakulungwa[emoji1]Ndiyo, nini jibu lake?
Physics imelalaMkuu, hii ni physics na jibu ni...
Moshi wa moto unakufuata kwa sababu hewa moto huinuka juu ya moto, na hivyo kuvuta hewa baridi. Sasa kumbuka mwili wa binadamu huzuwia hewa ya isipate moto. Hivyo hali hii hupunguza shinikizo la hewa karibu na binadamu, na moshi huelea kuelekea kwenye shinikizo la chini pamoja na binadamu.
uchawi na physics duh!Kaka Mshana Jr ameshakuja kujibu au 😏🙉
Tatizo vijana wananionaga cha pombe...😊Hapa
Physics imelala
Mkiwa wawili inakuwaje? Utawafuata wote?Kwanini upepo usiende upande mwingine unakufuata wewe ulipokaa hata ukihama?