Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙂🙂dah! huyu mwamba hua mgumu sana kufunguka.
Sina sababu ya kudanganya...ka ni kweli usemayo, umebahatika kumpata soulmate.
CC.Sijawahi cheat..
Nikikupenda nakugonga wewe wewe mwanzo mwisho...
Nimekupenda bure mamiii😍😍😍Sijawahi kucheat na sisamehi mtu anayecheat
Mitume wapiwanaume huwa hatucheat ila tunafanya ile kitu by nature. hata mitume waliishi hivyo...
Dem wako hakushtuka?Nlikuwa na gal wangu mmoja ivi.. very committed wife material.. mpka akanifanya nikawa mtulivu..
Nilkaa almost one year namtunzia dudu.. na tulikuwa maeneo tofaut.. cku nmeenda mkoaani kwake ucku nikawa nmefikia kwake, wakat wa kuoga akanipeleka chooni maana bafu halikuwa na taa hivyo nikatengewa maji chooni.. nikiwa nmevua kwa ajili ya kuoga.. aliingia dada amelewa xhooni bila hodi akalimwaga kojo.. tukaishia kunyanduana.. iliniuma sna baada ya uvumilivu wote nikaanguka mlangoni
hakustukia... ila guilty ilinikula sana..
Ila Kwa sasa unacheat Kwa sababu hauko serious bado?Nikija kuwa serious na relationship i will not cheat never why ni zile zile eti hata zikitofautiana
Kha!kha!,Lkn imeandikwa "Mkiwasamehe waliowakosea na Baba yenu wa Mbinguni atawasamehe ninyi makosa yenu". Jitahidi kuwa na moyo wa kusamehe utakuja kunishukuru.Sijawahi kucheat na sisamehi mtu anayecheat