Ushawahi kujutia kumcheat umpendaye?

Ushawahi kujutia kumcheat umpendaye?

Nlikuwa na gal wangu mmoja ivi.. very committed wife material.. mpka akanifanya nikawa mtulivu..
Nilkaa almost one year namtunzia dudu.. na tulikuwa maeneo tofaut.. cku nmeenda mkoaani kwake ucku nikawa nmefikia kwake, wakat wa kuoga akanipeleka chooni maana bafu halikuwa na taa hivyo nikatengewa maji chooni.. nikiwa nmevua kwa ajili ya kuoga.. aliingia dada amelewa xhooni bila hodi akalimwaga kojo.. tukaishia kunyanduana.. iliniuma sna baada ya uvumilivu wote nikaanguka mlangoni
 
Dem wako hakushtuka?

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
 
Nikija kuwa serious na relationship i will not cheat never why ni zile zile eti hata zikitofautiana
 
Sijawahi kucheat na sisamehi mtu anayecheat
Kha!kha!,Lkn imeandikwa "Mkiwasamehe waliowakosea na Baba yenu wa Mbinguni atawasamehe ninyi makosa yenu". Jitahidi kuwa na moyo wa kusamehe utakuja kunishukuru.
 
Back
Top Bottom