Wakuu salaam,
Kuna mtu ukiwa naye kwenye mahusiano/ndoa vile anavokupenda na kukutreat ikitokea umemcheat unajihisi mkosefu sana mbele zake hata ukawa na majuto.
Kuna muda unatamani kumuomba samahani but ndio haiwezekani unabaki na majuto moyoni.
Je, ushawahi pitia situation hii na experience yako ilikuaje?