Ushawahi kujutia kumcheat umpendaye?

Ushawahi kujutia kumcheat umpendaye?

Ndiyo nipo hivyo...

Nayempenda namgonga yeye yeye mwanzo mwisho...
Kila akijipindua ni yeye tu...

Waswahili wanasema sisikii wala sioni...
Huwa hukinai k moja tu mkuu?
Unatakiwa uwe nazo kama 10 hivi tofauti tofauti.
 
Sipendi kufumaniwa na ninampenda sana niliyenae, na kucheat uwa nacheat sana tu ila naogopa sana kufumaniwa nitajihis mwenye hatia kubwa mno.
 
Siwezi kula maharage kila siku kila mwanamke na utamu wake
 
Back
Top Bottom