Mmenikumbusha zama hizo nina demu wangu, siku tukakubaliana tukutane lodge, sasa sijajua siku ile alikuwa anawaza nini, anakuja na kumbe anavuja nikakasirika sana, nishalipia chumba nimeshaset akili yangu. Nikamwambia asepe tu mimi nilale maana hakuna mazungumzo mengine. Alivyoondoka tu nikampigia demu mwingine, ile namtania tu kuwa nina upwiru, twende basi lodge xxx maana nimekumiss, mdada wa watu akakubali, nikamwambia baada ya 30mins nitakuwa maeneo yeye aje tu. Nikaagiza vyombo nikawa napiga taratibu, baada ya 40mins text inaingia, nipo nje...nikanyanyua makwapa kwa furaha balaa, nikajilia mzigo hadi kesho yake asubuhi.