Ushawahi kumkimbia mwanamke guest?

Upo Kama Mimi mkuu Kuna kipindi nilikuwa kwenye situation exactly Kama hiyo yako aisee nilichoka sana
 
Teh! Hakika muonekano wa nje unawadatisha wanaume wengi kumbe software yenyewe iko ICU
 
Ccm mnachoifanyia demokrasia ya hii nchi ni kama kumkimbia mwanamke gesti.
wapinzani wana madoa madoa kama chui na mihemko kama nyumbu,

demokrasia ndani ya chama chao hawaiwezi, sembuse nje?πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…