Ushawahi kumkimbia mwanamke guest?

Ushawahi kumkimbia mwanamke guest?

hili la pili likitokea palepale sinza mapambano kwa manyweleeee pana matukioo weweeee....

kunakademu nilikakuta kakoo bar kanasubiri jamaa kamekaa meza yangu nkaomba namba kakatoa badae jama akakapotezea...nkamwambia akizungua nikosinza mapambano nipigie

nususaa lisaa kapiga hi ukowapi nkajibu nipoo same place nimekwambia

gafla Clara kaja huyoo tukachukua chumba.....mtoto anataka wine keupee katamu kwa macho...nikagiza dompo

mtoto akanywaa akazidiwa asianze kelele ument.....sanaa umeniumizaa sanaa omatusi kama yotee ooh nkaona sio hii

nkamwuliza unakaa wapi mama mbezibeach nkangalia pochi ana 50k
Nkaita bajaji tukampahela 15 mfikishe kituoni anza

NNikachomoq15 yangu ya dompo...akabaki na salio.nikajifixha chumba cha pili

Ameondokaa tuu wewee naijuahiooo
nkatoka ndukiiiiiiii

bahati kwa simu yake nilifuta cont zote na msg zote yaan hata sikuchagua kama n zangu

nahisi ilikuwa pona yanguu

baada ya mwaka nanusu nikoo skylounge pub kabla aijafungwaa aise nakaona kanaingia nkahama kwenye mwanga nkahamia gizan..hata manzii niliekuwa nae alishangaa nkamjibu nduguzangu waking ona watanipiga mzinga...

jpili nkaenda kutubu
Mkuu
Mwandiko is Mwandikoring dadeki
 
Nilikutana na demu mchungu huyo yn hana utamu kabisa, demu mchungu kama korokwini 😂 afu ndo kwanza bado mapema ikabidi nmpange mwanangu anipigie simu aniambie nahitajika kazini ndo ikawa ticket kusepa, nkaja kumrudia tena ila bado tuu demu hana utamu ndo nkampotezea mazima
Huyo demu atakuwa ana nyota ya muarobaini 😂
 
Back
Top Bottom