Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sir David Livingstone
Mtu wa kwanza kugundua ziwa victoria
neno moja kwake
Sir David Livingstone
Mtu wa kwanza kugundua ziwa victoria
neno moja kwake
Mmm!!inaonyesha alikuwa dikteta uchwara sana!Sir David Livingstone
Mtu wa kwanza kugundua ziwa victoria
neno moja kwake
Khaa! Kagundua ziwa victoria?we jamaa ni noumaSir David Livingstone
Mtu wa kwanza kugundua ziwa victoria
neno moja kwake
Hivi kwa kumwangalia tu usoni huyu MUjamaa hakuwa katili kweli?
Hawa watu hawakugundua kitu chochote. Walikuwa wakiongozwa na wenyeji kama wafanyavyo waongoza watalii wa.sasa. Sahihi labda ni kusema mzungu wa kwanza kuliona ziwa Nyanza na kulibatiza Victoria kwa heshima ya malkia wa Uingereza.MTU wa kwanza kutoka Europe kugundua lake Victoria maana pale kuna wahaya wasukuma wakerewe wako ziwani miaka 3000 iliyopita
Ndugu yangu umepuyanga hasa.yeye alijua umuhimu wa hilo ziwa na kulipa jina la queen wa Scotland wa kipindi hicho na hilo jina tunalitumia mpaka sasa ilikua 1850 na pia alitoa jina la Victoria Falls zambia huko na Zambezi River...waliokuepo walikua wanatumia jina gani kuliita...walilidharau ndio maana mtaalamu alipofika alishangaa sana na kulipa jina analotaka yeye...
Sema mzungu wa kwanza kuliona ziwa nyanza.....na kwa taarifa yako si yeye....rudi shule ukasome tena!livingstone hakuwah liona wala kufika ziwa nyanza[emoji13] [emoji13]