Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,843
- 10,321
Hahahahahaha mkuu utaniuaHapo mwanzo ziwa lilikuwa limefunikwa na matete halionekani, ndio yeye na Biblia yake akajikwaa na kutumbukia mguu mmoja akagundua kuna ziwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaha mkuu utaniuaHapo mwanzo ziwa lilikuwa limefunikwa na matete halionekani, ndio yeye na Biblia yake akajikwaa na kutumbukia mguu mmoja akagundua kuna ziwa.
hizi shule za kata kweli majanga,wachangiaji wote hao hakuna aliyesema bw livingstone hakufika ziwa nyanza,kuna tatizo kwenye elimu yetu.Sema mzungu wa kwanza kuliona ziwa nyanza.....na kwa taarifa yako si yeye....rudi shule ukasome tena!livingstone hakuwah liona wala kufika ziwa nyanza[emoji13] [emoji13]
Sio kugundua tu....hata kuliona tu hakuwahi liona..!
Akiba ya maneno...[emoji848]hizi shule za kata kweli majanga,wachangiaji wote hao hakuna aliyesema bw livingstone hakufika ziwa nyanza,kuna tatizo kwenye elimu yetu.
EtiAkiba ya maneno...[emoji848]
Ziwa Victoria kabla ya kuitwa hivyo lililikuwa linaitwa Ziwa Nyanza.aligundua ziwa victoria au alilipa jina ziwa victoria
Sio sahihi, jina la asili la ziwa hilo lilikuwepo na lipo ila tunaona aibu kulibadilisha hili la Kizungu.aligundua ziwa victoria au alilipa jina ziwa victoria
Nadhani mkuu tunakosea kusema KUGUNDUA, usahihi ni mtu wa kwanza toka Ulaya KUONA ..............MTU wa kwanza kutoka Europe kugundua lake Victoria maana pale kuna wahaya wasukuma wakerewe wako ziwani miaka 3000 iliyopita
Uko sahihi,sisi tulikuwa tunajua kuwa kuna ziwa pale kwahiyo yeye ndio mzungu wa kwanza..Sio mtu wa kwanza sema mzungu wa kwamza
kabla yake hilo ziwa liliitwaje je hao walioliita hawakugundua isipokuwa huyo locust. Mzungu mbaya sana katufanya waafrika tuonekana mazuzu unakuta jitu na kielimu chake ila bado anaamini mtu wa kwanza kugundua ziwa ni Mzungu.
TiririkaLivingstone hakuwahi ona ziwa nyanza, mzungu wa kwanza kuona ziwa nyanza Alikuwa Richard butorn