ndetia
JF-Expert Member
- Jun 9, 2012
- 616
- 669
naona sasa waafrica akili zetu zinaanza kujirudia!! hivi ilikuaje hadi mwalimu mweusi nae akafundisha watoto wa kanda ya ziwa kwamba huyu dr ndie aligundua ziwa victoria?Ingawa na mimi pia nilifundishwa kwamba huyu bwana ndiye ''mgunduzi'' wa hili ziwa kiuhalisia yeye alikuwa MZUNGU WA KWANZA KULIONA ZIWA VICTORIA, maana hilo ziwa si lilikuwa linajulikana kwa wenyeji wa nchi zinazolizunguka?