Ushawahi kumuona Sir David Livingstone sura yake?

Labda alikuwa mzungu wa kwanza kuliona ziwa Nyanza na kulipa jina la Victory na si kugundua. Waliozaliwa maeneo hayo na ziwa waliliona tangu utoto wao hata kabla ya ujio wa wageni wao watasemaje??
 
Sir David Livingstone
Mtu wa kwanza kugundua ziwa victoria

neno moja kwake


Ingawa na mimi pia nilifundishwa kwamba huyu bwana ndiye ''mgunduzi'' wa hili ziwa kiuhalisia yeye alikuwa MZUNGU WA KWANZA KULIONA ZIWA VICTORIA, maana hilo ziwa si lilikuwa linajulikana kwa wenyeji wa nchi zinazolizunguka?
 
Tunamshukuru kwa kuligundua ziwa Victoria, bila yeye sisi tusingejua kuwa kuna ziwa Victoria
 
Mtu wa kwanza kumgundua mtu ni nani? Still looking.
 
yeye alijua umuhimu wa hilo ziwa na kulipa jina la queen wa Scotland wa kipindi hicho na hilo jina tunalitumia mpaka sasa ilikua 1850 na pia alitoa jina la Victoria Falls zambia huko na Zambezi River...waliokuepo walikua wanatumia jina gani kuliita...walilidharau ndio maana mtaalamu alipofika alishangaa sana na kulipa jina analotaka yeye...
 
MTU wa kwanza kutoka Europe kugundua lake Victoria maana pale kuna wahaya wasukuma wakerewe wako ziwani miaka 3000 iliyopita
Hawa watu hawakugundua kitu chochote. Walikuwa wakiongozwa na wenyeji kama wafanyavyo waongoza watalii wa.sasa. Sahihi labda ni kusema mzungu wa kwanza kuliona ziwa Nyanza na kulibatiza Victoria kwa heshima ya malkia wa Uingereza.
 
Ndugu yangu umepuyanga hasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…