naona sasa waafrica akili zetu zinaanza kujirudia!! hivi ilikuaje hadi mwalimu mweusi nae akafundisha watoto wa kanda ya ziwa kwamba huyu dr ndie aligundua ziwa victoria?Ingawa na mimi pia nilifundishwa kwamba huyu bwana ndiye ''mgunduzi'' wa hili ziwa kiuhalisia yeye alikuwa MZUNGU WA KWANZA KULIONA ZIWA VICTORIA, maana hilo ziwa si lilikuwa linajulikana kwa wenyeji wa nchi zinazolizunguka?
Livingstone hakuwahi ona ziwa nyanza, mzungu wa kwanza kuona ziwa nyanza Alikuwa Richard butornSema mzungu wa kwanza kuliona ziwa nyanza.....na kwa taarifa yako si yeye....rudi shule ukasome tena!livingstone hakuwah liona wala kufika ziwa nyanza[emoji13] [emoji13]
Walimu wa mwanzo walikuwa wanatumia mitaala iliyoandaliwa na wakoloni...naona sasa waafrica akili zetu zinaanza kujirudia!! hivi ilikuaje hadi mwalimu mweusi nae akafundisha watoto wa kanda ya ziwa kwamba huyu dr ndie aligundua ziwa victoria?
Ingawa na mimi pia nilifundishwa kwamba huyu bwana ndiye ''mgunduzi'' wa hili zjiwa kiuhalisia yeye alikuwa MZUNGU WA KWANZA KULIONA ZIWA VICTORIA, maana hilo ziwa si lilikuwa linajulikana kwa wenyeji wa nchi zinazolizunguka?
naona sasa waafrica akili zetu zinaanza kujirudia!! hivi ilikuaje hadi mwalimu mweusi nae akafundisha watoto wa kanda ya ziwa kwamba huyu dr ndie aligundua ziwa victoria?
Sina neno moja kwake ila ninayo kumi na nne kwako
Hili la Living Stone na Victoria mkuu UMEPUYANGA KWELI KWELI, KIFUPI ALIKUFA PASI NA KULIONA,Nadhani huyu historia yake kwa TANZANIA imeegemea sana ZIWA TANGANYIKA kule...c kule hata makumbusho yake ipo? Na hata sehemu alokuwa anapigia mswaki bado ipo pia[emoji12] Na hilo la WAZUNGU kugundua hata BABU YANGU ALILIKATAA KABISA[emoji23]
Acha kupotosha watu
na kweli.aligundua ziwa victoria au alilipa jina ziwa victoria
Acheni uboya wa kuaminishwa! Eti aligundua ziwa Victoria?? Ina maana waafrika waliokuwa wakiishii na kuvuendesha shughuli zao za uvuvi na kilimo maeneo ya ziwa Victoria walikuwa hawajawahi kuliona?? Yani kisa huyu jamaa aliliona akawapelekea habari matapeli wenzake huko Ulaya ndo wakambatiza ameligundua na sisi waafrika tunaambiwa aliligundua yeye tunaitika "Mooo'' kama ming'ombe ya Masai!
Acha kupotosha watu
Huyu ni mzungu wa kwanza kugundua hilo ziwa but before yeye waafrica waliishi along the shore
So ni uongo ukisema yeye ndiye mtu wa kwanza kuligundua hilo ziwa
Hapo mwanzo ziwa lilikuwa limefunikwa na matete halionekani, ndio yeye na Biblia yake akajikwaa na kutumbukia mguu mmoja akagundua kuna ziwa.Atagunduaje ziwa wakuu?