Ushawahi Kupata mchongo Ukiwa Baa?

Ushawahi Kupata mchongo Ukiwa Baa?

Binafsi mimi sijawahi kupata mchongo nikiwa Baa.
Nilipata mchongo wa kununua shamba ekari mbili nikiwa bar. Tumeongea kama leo tukiwa tunakata kilaji, kesho yake nikaenda kuliona.Keshokutwa yake nikalinunua. Hii miaka 6 iliyopita.
 
Nilipata mchongo wa kununua fremu ya saluni ya kiume nikiwa bar pombe iheshimiwe
 
Pia nilipata mchongo wa kuanzisha kikampuni changu Cha spices nikiwa bar
 
Kwanza nawazaga huo mchongo anakupa nani na anakupaje kwakwel sijawah kupata zaid ya kupata ofa za bia unakaa na mwana, mnapiga story mara anakwambia agiza nb bila usafir wangu hunion kukatiza bar nikiwa na usafir hata nikiwa na buku lazima unione bar na nikifika huko nikujibanza konani
 
Sisi madalali michongo yetu mara nyingi huwa tunapeana tukiwa bar.
 
Hahahaha hatimae jana nimepata mchongo Bar [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom