Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Na bar zenye michongo hazikeshi hovyoMingi tu
Kuna bar ndy watu wanakaa nakuzungumza michongo
Kidimbwi huwezi pata mchongo
Maana wote huko mnaenda kulewa na kukatika mauno tu
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na bar zenye michongo hazikeshi hovyoMingi tu
Kuna bar ndy watu wanakaa nakuzungumza michongo
Kidimbwi huwezi pata mchongo
Maana wote huko mnaenda kulewa na kukatika mauno tu
Ova
Nilipata mchongo wa kununua shamba ekari mbili nikiwa bar. Tumeongea kama leo tukiwa tunakata kilaji, kesho yake nikaenda kuliona.Keshokutwa yake nikalinunua. Hii miaka 6 iliyopita.Binafsi mimi sijawahi kupata mchongo nikiwa Baa.