Ushawahi kupata mwenza humu JamiiForums?

Acha uoga warembo wanajiamini au ulishampata mwenza wako humu? Bahati imekuchagua
Wala sihitaji mwenza wa huku, wa mtaani wanatoshaaa sanaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Binadamu bana mapenzi yakinoga tunajitanulia zeituuuuuuu tunachekaaa tunachambaaaaa[emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108] yakichacha sasa mfyuuu!!! [emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji37][emoji37][emoji37][emoji37][emoji37][emoji37][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]

Dj waletreeeeee [emoji126][emoji126]!
 
Na wana ishia kusema "hakuna kitu palee maji mara 1" afu huku jukwaani wanakupa hype kukujazaa, JF sihamiiiiiii

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee jf nami sitokii usintanieeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!
 
Na wana ishia kusema "hakuna kitu palee maji mara 1" afu huku jukwaani wanakupa hype kukujazaa, JF sihamiiiiiii

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!
 
Sana,jamvi la wageni uwiiiih[emoji1787]

Wajuba wanapasiana tu huko pm[emoji3]

Si unajiona wewe ndiyo wewe tena kumbe wenzio wanakuzooom tu,

Weuweeeeeeeeeeh[emoji706]
Mnaniuaje Mbavuuuuuu zangu kwa kichekoo hukuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]!

Mimi ndio Bora wengine wote mafwaraaaaaa[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!
 
Full kuvuruguana, yaan ni mkiki mkiki, no kuzubaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukizubaaa unapewa chambavu watu tunachukua jimbooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Zubaa tu na ushamba wako ka mahoo hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!

Waletreeeeeeeee [emoji126][emoji126]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…