mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 23,965
- 131,949
Wanaojielewa humu wote washaoa.Mie nimempata mpenzi ila ameoa ni wa jf ni handsome balaa na anasifa nyingi tu muelewa na anafuraha kila saa tokea 2019 hadi 2022 nipo naye tu
Tunapoelekea nisiri yetu haiwausu.
Mume humu Badoo