Ushawahi kupata mwenza humu JamiiForums?

Cocastic ni mchumba[emoji849] huyo anayetaka kumchukua nitaroga toto la mtu, nionekane mbaya

Sent from my LND-L29 using JamiiForums mobile app
 
Nilimpataga enzi hizo nasoma, alinitunza, alinisaidia ada....sijui ilikuwaje tunakaachana. Ila Mimi ndo nilikuwa tatizo, utoto ulikuwa mwingi.
Popote alipo namshukuru, sijawahi kusahau wema wake kwangu.
Kiporo huwa hakihitaji moto mwingi kwenye kukipasha. Moto mwingi ni wakati wa kupika tu.
 
Mkuu humu wenza wapo lakini sasa.
*Wote wajuaji
*wote wana Stress zao
*hakuna Mgumba JF hivyo mwenza yoyote utakaempata humu tambua lazma atakuwa haa bikra, ana mtoto\ watoto, ana madeni, anawinda kama wewe unavyowinda, uaminifu ni 10% hatuaminiani humu mkuu! Cheki Ids zatu wengi FAKE hivyo usitegemee kuishi katika kweli hata huko ktk mahusiano. fake Itatawala..

Mahusiano yanaweza kuzaa hicho unachotaka endapo tu utakutana na yule anayekutafuta.

pia wasiojulikana nao wapo kazini
 
Ukiamua na ukiwa siriazi unapata; lakini ukitaka kubahatisha, unapata mbabaishaji.
 
JF?!!....humu labda hit and run....watu washajimilikisha vimwana wanabebishana tu wakat mim msukuma wa watu sina hata wakusingiziwa...tosha gete bhagosha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…