Ushawahi kupata mwenza humu JamiiForums?

Ushawahi kupata mwenza humu JamiiForums?

Mimi nikiwa na Babe wangu wa JF kwenye mishemishe za kila siku😁😁😁
1668915288695.jpg
 
Kwahiyo humu ndani mnakulana na hamsemi!! Watu mko na siri sana!!
 
Anajishaua huyo hana lolote [emoji23][emoji23]
Ukute huko duniani bwanake ni yule X wangu ambae muda wowote nikimuita anakuja [emoji23][emoji23]

Em kasitusumbue

Cc cocastic
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa mnoooo mie. Cna moyoo wa kuvumilia kwa kweli. Naogopaaa mnooooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe watu mnadinyanya gumu halafu hamsemi.


Wabaya sana nyie.
 
Huu mtandao unachekesha
Unaweza mtaja bae wako uko proud nae kumbe kuna wenzako wanakuzoom tu..

Huongei na mtu leo mna beef kesho akija na id mpya unakuwa swahiba wake.
Unadate mtu mnagombana kesho akija na id mpya unazama pm yake unamtongoza upya bila kujua[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji119]
 
Mitandao ya kijamii alimaarufu kama social media imekuwa nyenzo moja wapo tena kubwa sana ya watu kuanzishia mahusiano kwa miaka ya hivi karibuni.

Yaani unakutana na mtu online mnachat, mnabadilishana namba mnakutana live mnakulana na mishe zengine zinaendelea.

Imefikia hatua mpaka watu wanaingia kwenye ndoa ukifatilia walikutania wapi? Utaambiwa FB, mara insta mara twitter mara sijui wapi siku hizi mitandao ni mingi.

Je?? Humu JamiiForums, ushawahi kukutana na mtu mpaka mkawa wapenzi?

Japo naamini kwa nature ya JF ni ngumu kidogo watu ku'interact kwenye masuala binafsi ila kuna wale martin kadinda, duduke, nyoka pangoni, wanangu wa ngono zembe wao kupata mpenzi ni popote hata msibani.
........

Kama uliwahi kupata mpenzi em tuambie ilikuaje kuaje? Na mpaka sasa mmefikia hatua gani?
Mm niishawapata watatu humu. Mmoja nilimtolea mpaka mahari akazigua nikaachana nae ila jf ina mademu wazuri
 
Back
Top Bottom