Ushawahi kupata mwenza humu JamiiForums?

Ushawahi kupata mwenza humu JamiiForums?

Tukisema tusikae karibu na maex wa watu tutakufa kwa genye maana kila utakapogusa ni ex wa mtu. Mvumilie mkiachika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie sio rahis hvyooo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah, sijui haoni aibu kila mwanamke kuona uchi wake lol.
Aibu ya nini wakati anapata utamu mwenzio. Halafu halagi vya siri akila atawaonyesha tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Likawa balaa la mwisho wa mwaka[emoji3],

Humu unaweza kuwa na urafiki na mwenza wa mwenza wako na msijuane[emoji3] na mwenza wenu akawa anawacheka tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jf[emoji706][emoji706]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Jamaa anakuwa anacheki anavyogonganisha mabehewa tu
 
Sasa kwaann nawee uwe karibu na X wa mtuuu?? Mie mtu akiwa karibu na X wangu namrogaaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uroge kisa nini na ushakuwa X 😀
 
Uroge kisa nini na ushakuwa X [emoji3]
Yaan mie mtu nliyezoeana nae au kufahamiana nae kwa ufupi, afu akawa close na X wangu, namrogaaaaaaaa!!! Sitaki kabisaaa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaan mie mtu nliyezoeana nae au kufahamiana nae kwa ufupi, afu akawa close na X wangu, namrogaaaaaaaa!!! Sitaki kabisaaa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wivu au 😂😂😂💃
 
Sasa kwaann nawee uwe karibu na X wa mtuuu?? Mie mtu akiwa karibu na X wangu namrogaaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huko ni kupangiana maisha sasa!! Mkiachana kila mmoja na life lakee!!!
 
Back
Top Bottom