Ushawahi kupata mwenza humu JamiiForums?

Ushawahi kupata mwenza humu JamiiForums?

Ukiachwa achikq ndio
Usipofanya hivyo utateseka sana
Utaona kila aliye karibu na X wako anakung’ong’a [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kwaann nawee uwe karibu na X wa mtuuu?? Mie mtu akiwa karibu na X wangu namrogaaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
cocastic Hebu niufyante domo langu miyeeee nayoyoma tu hapaaa papaa akunwa mwingine saeziiiii Hebu nikapambane nahare yangu mieee[emoji847][emoji847][emoji847][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!

Msisahau kuongeza sautiiiii pullliiizzzzzzzzzzzzzzz[emoji126][emoji126][emoji126][emoji1732][emoji1732][emoji112][emoji112]!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ushindweeeeeee na ulegeeeeee.

Nakupeleka kwa mwamposaaa.
 
Na wana ishia kusema "hakuna kitu palee maji mara 1" afu huku jukwaani wanakupa hype kukujazaa, JF sihamiiiiiii

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] lakini ni dhambi wanafanya
 
Kuna mmoja alimtoa mtu Mwanza akaja akampa elfu saba sijui na ngapi hivi, ili trend sana hapa JF
Kumbe ni mtoa uzi ndo alifanya yale mambo? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa kwaann nawee uwe karibu na X wa mtuuu?? Mie mtu akiwa karibu na X wangu namrogaaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akishamua ex si wako tena watu wanakaa nae tu karibu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan anawapangaa tyuuh na wanapangikaaaa kweli. Hana bayaaa kaka wa watu.

Uwiiiiiih lol
Anajituma kwa kweli si haba
 
Back
Top Bottom