Ushawahi kupata mwenza humu JamiiForums?

Ushawahi kupata mwenza humu JamiiForums?

Mitandao ya kijamii alimaarufu kama social media imekuwa nyenzo moja wapo tena kubwa sana ya watu kuanzishia mahusiano kwa miaka ya hivi karibuni.

Yaani unakutana na mtu online mnachat, mnabadilishana namba mnakutana live mnakulana na mishe zengine zinaendelea.

Imefikia hatua mpaka watu wanaingia kwenye ndoa ukifatilia walikutania wapi? Utaambiwa FB, mara insta mara twitter mara sijui wapi siku hizi mitandao ni mingi.

Je?? Humu JamiiForums, ushawahi kukutana na mtu mpaka mkawa wapenzi?

Japo naamini kwa nature ya JF ni ngumu kidogo watu ku'interact kwenye masuala binafsi ila kuna wale martin kadinda, duduke, nyoka pangoni, wanangu wa ngono zembe wao kupata mpenzi ni popote hata msibani.
........

Kama uliwahi kupata mpenzi em tuambie ilikuaje kuaje? Na mpaka sasa mmefikia hatua gani?
Sitaki goganisha magari watu wakawagawana vipisi vya viungo vyangu.
 
cocastic Hebu niufyante domo langu miyeeee nayoyoma tu hapaaa papaa akunwa mwingine saeziiiii Hebu nikapambane nahare yangu mieeeπŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£!!

Msisahau kuongeza sautiiiii pullliiizzzzzzzzzzzzzzzπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ‘‹πŸ‘‹!
 
Mjep

Njoo utoe muongozo hapaaaa.
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Nimefika mlongo
 
Back
Top Bottom