Ushawahi kupendwa na familia nzima?

Ushawahi kupendwa na familia nzima?

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
9,405
Reaction score
10,637
Habari za mda huu wakuu

Poleni watanzania kwa msiba wa Dkt. Faustine Ndugulile mwana CCM pekee aliyekuwa amebaki mwenye akili

Hii familia sijui wananipendea nini, anyway naamka na simu ya dada yao tulieachana miaka mingi japo sitaki kurudi

Unatoka hiyo inaingia ya mdogo wao wa kike ka first year kanaulizia mambo flani ya chuo 😁

Sasa hivi natoka kuongea na kaka Yao ananiambia nakupitia ukamsalimie sister angu bhana ni dereva ninagoma huenda kaolewa nitauawa anasisitiza unafeli wewe tu kuyajenga nae

Hawa watakuja kuniroga
 
Hua inatokea hiyo. Jana nimetoka kuchat na kaka mtu ambae nilikua natoka na dada yake miaka kama miwili iliyopita. Tulishaachana na dada yake lakini jamaa bado ananipigia simu na kuniita shem.

Nimemuuliza ex wangu kwanini kaka yake hapunguzi ukaribu na mimi anajibu, kaka alishasema hamtambui shemeji yake mwingine zaidi ya mimi. Noma sana!!!
 
Habari za mda huu wakuu

Poleni watanzania Kwa msiba wa Dr Faustine ndungulile mwana CCM pekee aliyekuwa amebaki mwenye akili

Hii familia sjui wananipendea nini anyway naamka na simu ya dada Yao tulieachana miaka mingi japo sitaki kurudi

Unatoka iyo inaingia ya mdogo wao wa kike ka first year kanaulizia mambo flani ya chuo 😁

Saivi natoka kuongea na kaka Yao ananiambia nakupitia ukamsalimie sister angu bhana ni dereva ninagoma huenda kaolewa nitauwawa anasisitiza una feli wewe tu kuyajenga nae

Hawa watakuja kuniroga
If they force you to join them to an opportunity you then you are the opportunity
 
Hua inatokea hiyo. Jana nimetoka kuchat na kaka mtu ambae nilikua natoka na dada yake miaka kama miwili iliyopita. Tulishaachana na dada yake lakini jamaa bado ananipigia simu na kuniita shem.

Nimemuuliza ex wangu kwanini kaka yake hapunguzi ukaribu na mimi anajibu, kaka alishasema hamtambui shemeji yake mwingine zaidi ya mimi. Noma sana!!!
Hata Mimi Huwa naitwa shemeji wa dunia
 
Habari za mda huu wakuu

Poleni watanzania Kwa msiba wa Dr Faustine ndungulile mwana CCM pekee aliyekuwa amebaki mwenye akili

Hii familia sjui wananipendea nini anyway naamka na simu ya dada Yao tulieachana miaka mingi japo sitaki kurudi

Unatoka iyo inaingia ya mdogo wao wa kike ka first year kanaulizia mambo flani ya chuo 😁

Saivi natoka kuongea na kaka Yao ananiambia nakupitia ukamsalimie sister angu bhana ni dereva ninagoma huenda kaolewa nitauwawa anasisitiza una feli wewe tu kuyajenga nae

Hawa watakuja kuniroga

- Ni mhongaji mzuri na unatumika; ofcourse ukiwa fala wa kutoa toa pesa hovyo hovyo utapendwa, Why? You are buying that love!
 
Habari za mda huu wakuu

Poleni watanzania Kwa msiba wa Dr Faustine ndungulile mwana CCM pekee aliyekuwa amebaki mwenye akili

Hii familia sjui wananipendea nini anyway naamka na simu ya dada Yao tulieachana miaka mingi japo sitaki kurudi

Unatoka iyo inaingia ya mdogo wao wa kike ka first year kanaulizia mambo flani ya chuo 😁

Saivi natoka kuongea na kaka Yao ananiambia nakupitia ukamsalimie sister angu bhana ni dereva ninagoma huenda kaolewa nitauwawa anasisitiza una feli wewe tu kuyajenga nae

Hawa watakuja kuniroga
Huyu mwanaume anayekupenda pamoja na dada zake huna wasiwasi nae?
 
Unanikumbusha kipindi naachana na x wangu jinsi familia nzima ilivyokua inapambana kutetea nisimuache dada yao.
 
Hawa Hadi kesho wananiitaga shemeji wa Dunia ila mie simuitaji Tena dada yao
 
Back
Top Bottom