sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,405
- 10,637
- Thread starter
- #21
Sijawahi na kipindi nipo chuo dada yao alikuwa ananisomesha😁Tuhela twenu mlikuwa mnahonga familia nzima ili waseme Shem ana hela alafu mnakuja hapa kutuuliza eti kwanini mnapendwa 😠
Tupumzisheni tuna Mambo mengi ya kufanya hapa msibani kwa Kaka Fau