If they force you to join them to an opportunity you then you are the opportunityHabari za mda huu wakuu
Poleni watanzania Kwa msiba wa Dr Faustine ndungulile mwana CCM pekee aliyekuwa amebaki mwenye akili
Hii familia sjui wananipendea nini anyway naamka na simu ya dada Yao tulieachana miaka mingi japo sitaki kurudi
Unatoka iyo inaingia ya mdogo wao wa kike ka first year kanaulizia mambo flani ya chuo π
Saivi natoka kuongea na kaka Yao ananiambia nakupitia ukamsalimie sister angu bhana ni dereva ninagoma huenda kaolewa nitauwawa anasisitiza una feli wewe tu kuyajenga nae
Hawa watakuja kuniroga
Hata Mimi Huwa naitwa shemeji wa duniaHua inatokea hiyo. Jana nimetoka kuchat na kaka mtu ambae nilikua natoka na dada yake miaka kama miwili iliyopita. Tulishaachana na dada yake lakini jamaa bado ananipigia simu na kuniita shem.
Nimemuuliza ex wangu kwanini kaka yake hapunguzi ukaribu na mimi anajibu, kaka alishasema hamtambui shemeji yake mwingine zaidi ya mimi. Noma sana!!!
Habari za mda huu wakuu
Poleni watanzania Kwa msiba wa Dr Faustine ndungulile mwana CCM pekee aliyekuwa amebaki mwenye akili
Hii familia sjui wananipendea nini anyway naamka na simu ya dada Yao tulieachana miaka mingi japo sitaki kurudi
Unatoka iyo inaingia ya mdogo wao wa kike ka first year kanaulizia mambo flani ya chuo π
Saivi natoka kuongea na kaka Yao ananiambia nakupitia ukamsalimie sister angu bhana ni dereva ninagoma huenda kaolewa nitauwawa anasisitiza una feli wewe tu kuyajenga nae
Hawa watakuja kuniroga
Huyu mwanaume anayekupenda pamoja na dada zake huna wasiwasi nae?Habari za mda huu wakuu