Ushawahi kupendwa na familia nzima?

Tupo kwenye operation ya kuwakamata akina Mario wote na kuwafunga kwa mwaka mmoja .


Nilikomenti vile ili niweze kujua uliwahi kuwa Mario au hapana ,Sasa soon vijana wangu watakuchukua kwa mahojiano zaidi.

Poor Tanzania ,poor youth of Tanzania
Ungekataa ata wewe?

Huwa ananipigia simu kudai pesa zake 😁
 
mambo ya kawaida hayo mie nimeponea chupuchupu kulogwa na familia kisa kumkataa bint yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…