Ushawahi kusikia kampuni inayouza gesi ya kupikia mpaka Tsh. 1000?

kuanzia Sh 1000 (Buku). Hawa jamaa wanafunga mita juu ya mitungi yao na wanakupa kadi janja maalum ambayo ina namba zako za malipo na unalipia kwenye Tigo Pesa, Airtel Mony, M Pesa n.k
Gas ya buku si unatembea nayo kwenye mfuko wa koti tu!!!
 
Kabisa, unafuu wake ni kuwa badala ya sh 23000-24000 unaweza kununua kidogokidogo kwa viwango vile vile
Swala si kununua kidogo kidogo swala ni je, nitapata ujazo sawia na kununua kwa pesa jumla?
 
Kabisa, unafuu wake ni kuwa badala ya sh 23000-24000 unaweza kununua kidogokidogo kwa viwango vile vile
Mtungi wa kg 15 nikitaka kulipia gas yote ni sh ngapi?
 
habari, mitungi yetu ni ya kg 11 ambayo kwa makadirio mpaka unaisha unakuwa umetumia sh 45000
 
Yani ww ndio muhusika ila unajifanya unatoa namba ya muhusika....kwann hutak kujulikana kuwa ndio muhusika???....by the way issue ya Boss wenu vp tena au bado anajaribu kuchezesha
 
Jifunze tofauti ya matumizi ya Jamii Forum na Facebook. Mada iliyopo unaiona usilete vitu visivyohusika.
 
Back
Top Bottom