Ushawahi kutumia mbinu chafu kufaulu masomo?

Ushawahi kutumia mbinu chafu kufaulu masomo?

Tuliwahi kufanya hivi kwenye Supplementary, mlinzi akagundua akaenda kulitoa. Tulipoenda kupiga chabo kwa kisingizio cha kwenda Toi tukalikosa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aliwakomeshaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna vifaa niliagiza nje ya nchi vina thamani ya laki 350k tu... ni miwani na saa yake ...hio saa unailisha mazaga ya kutosha na kwa macho ya kawaida huwez soma chochote kwny hio saa mpka uvae miwani yake ndo unaweza kusoma mzgo wowote uliouweka kwnye hio saa... nakumbuka kuna yale masomo yana notc nyingii hayo ndo nilikuwa natembea nayo nilikuwa nahamisha kama nilivo ... hata msimamizi akae mbele yangu hawez kuona chochote kwnye hio saa mpka awe kavaa miwani...nilikuwa nabutua sana tena sana

Nb: hivo vifaa ninavyo mpka leo na niliagiza croatia kutoka kwa supplier.. ni smartwach na miwani yake.
 
Chuo nilichosoma mimi hizo saa haziruhusiwi ni kosa kisheria naona walishtuka mapema
 
Chuo tunaita kijiji yaaan tu graduate wote....mnakaa friends wote zone moja aseew hakuna swali kupelea....

But necta ya o level sitamsahau friend wangu BK asee bios nusu ipite na mm genius BK mara kama zali akaomba ruhusa aeende toi ...na mimi nkaunga nyuma jamaa alienda kunipa majib ya nusu paper....MAISHA NI SAFAR JAMAA LEO N AFSA MIFUGO WILAYA FLAN NA BADO TUPO FRIEND SANA...
 
Aliwakomeshaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daahh, alituweza sana.

Jambo la kufurahisha ni kuwa niliyoyaandika mule nilikuwa nimejitahidi pia kuyameza ila ukiwa kwenye room temperature(pepa) unakuwa na presha na kusahau haraka. Sasa oblongata ilipogota si nikasema ngoja nikacheki mzigo toi. Kufika tu nikakuta jamaa kafanya yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kuna comment yako moja kwenye ule uzi unaozungumzia kama umewahi kufanya kazi gani ya hovyo, ukasema ulienda kuomba kazi ukaishia kupewa buku tu ukanywe chai maana jamaa walipokutazama tu waliona umechoka hujiwezi kabisa 🤣🤣🤣
 
Shule ya msingi na sekondari nilikuwa kichwa. Nilipofika chuo akili ikaniambia kule ulikotoka ni champioship na hii ni ligi ya wakubwa, changanya na zako. Basi nikawa kila pepa lazima niingie na weapons of mass destruction.
Ulistop kuwa kama J Plus ukaona sasa uwe Chen Hu moja kwa moja
 
[emoji23][emoji23]aisee kuna kikaka kilikuwa kinanipenda pale MUHAS alikuwa anaingia na simu afu mimi nakaa nyuma yake akimalz pepa ananipasia aisee popote ulipo japhet Ubarikiwe
Aiseee
 
Daahh, alituweza sana.

Jambo la kufurahisha ni kuwa niliyoyaandika mule nilikuwa nimejitahidi pia kuyameza ila ukiwa kwenye room temperature(pepa) unakuwa na presha na kusahau haraka. Sasa oblongata ilipogota si nikasema ngoja nikacheki mzigo toi. Kufika tu nikakuta jamaa kafanya yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijawahi kutumia vibomu kwa njia yoyote ile.

Ila Necta 4m 4, pepa la bios, mtu alikosea kurusha kibomu kikatua kwangu, sitasahau kamwee.
 
Kuna comment yako moja kwenye ule uzi unaozungumzia kama umewahi kufanya kazi gani ya hovyo, ukasema ulienda kuomba kazi ukaishia kupewa buku tu ukanywe chai maana jamaa walipokutazama tu waliona umechoka hujiwezi kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ilikuwa noma sana aisee, ndio life lilivyo ukizubaa linakuchakaza sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijawahi kutumia vibomu kwa njia yoyote ile.

Ila Necta 4m 4, pepa la bios, mtu alikosea kurusha kibomu kikatua kwangu, sitasahau kamwee.
Huenda ulisoma kozi rahisi chuo.

Wengi wetu tumetoka kule chini vizuri tukiwa tunajiamini na record nzuri, ila Chuo kikatunyoosha.

Sekondari ilikuwa vizuri maana unajifunza kitu leo, utakifanyia pepa miezi kadhaa ijayo, Chuo ni papo kwa papo.
 
Kuna paper niliona hawa mafala wananitania huyo nikatoka room mpaka maktaba nikala msuli nikarudi tena room.Kilichonipata bado nikafeli .Mi njinga kweli.
 
[emoji23]Mbona Tupo tunatibia watu fresh tu [emoji23][emoji23]
Kumbe ni mtu wa afya. Afadhari. Siyo wewe aisee. Nilikuwa nakufananisha na mtu fulani hivi somewhere na sikutaka awepo JF at least for now. Hahaaaa
 
Back
Top Bottom